Recent content by Gushleviv

  1. Gushleviv

    Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

    Kama unajijua hujatulia basi tumia Kinga au mwambie mwenzieo atumie Kinga. Wengi wanapeana Ukimwi sababu ya kuendekeza ngono zembe na unafiki wa kutoambiana ukweli kwenye mahusiano.
  2. Gushleviv

    Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

    Na waume wengi tukiotulia tunaletewa na Wake wanaorukaruka nje
  3. Gushleviv

    Ushauri wa ulaji wa mafuta wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000

    Kama siyo mtu wa mizunguko, tafuta moja hata kama ni 6 iwe Engine Code ya 1G na CC zisizidi 2000. Ni gari nzuri sana kwa matumizi ya nyumbani na ngumu sanaa
  4. Gushleviv

    Ushauri wa ulaji wa mafuta wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000

    Yes kuna model ya zamani ya Mark II zipo, saivi kuzipata ni adimu sana na wengi wenye zilizonyooka hawaziuzi bado wanazitumia
  5. Gushleviv

    Ushauri wa ulaji wa mafuta wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000

    Nyingi ikiwa iko vizuri ni 8km/ L haswa kwa za Engine ya 1G nyingine sina uzoefu nazo.. Ulajinwake wa mafuta siyo kihivyo. Usisikilize maneno ya vijiweni ya watu ambao hawajawahi hata kumiliki baiskeli.
  6. Gushleviv

    Onyo la Busara: Ukiwa na Mpenzi wako au mume au mke popote pale usivimbe au kujisifia na ukadharau watu. Ulipo tupo ulipo wapo

    Mwanaume aliekamilika anajisifu kwa kufanya mambo makubwa yenye tija mfano miradi endelevu ya maendeleo na siyo Kufanya Ngono hovyo na wanawake. Wewe na huyo mwenzio wote ni wapumbavu.
  7. Gushleviv

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    Mkuu watz roho mbaya sanaa, mtu anaweza kukuzushia jambo wakati hata hakujui.
  8. Gushleviv

    Tahadhari ya marafiki wasio rafiki

    Ndugu zangu na rafiki zangu wa ukweli ni watoto wangu, kidogoo na mama yao ila huyu naishi nae kwa machale. Wengine wote waliobaki sina time. Tunakutana kwenye matukuo tu yanayotukutanisha.
  9. Gushleviv

    Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

    Mfumo wa malipo na eneo la biashara vimemuharibia sana mwamba. Huwezi fanya biashara kwa mfumo wake alafu location Manzese🤣🤣
  10. Gushleviv

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    We jamaa wewe! Ebwana zile coin zetu ulizokuwa unasubiri sifuri zipungue tujenge ghorofa vepee??🤣🤣
Back
Top Bottom