UTANGUZILI.
Tanzania tumekuwa na mabadiliko mengi sana katika mfumo wetu wa elimu rasmi toka tumepata uhuru mpaka sasa. Tumekuwa katika kipindi ambacho vyuo vya ufundi vilipewa kipaumbele na...
Tanzania nchi yangu nakupenda japo unanipa maumivu kila kukicha. Umejaliwa kila kitu cha kunifanya nitabasamu lakini tabasamu sipati. Nimekukosea nini? Niambie basi nielewe, kama ni samahani...
HOMA CHINI YA 18 NA JUU YAKE : KLINIKI ENDELEVU
Kwa mujibu wa Tamko la Umoja wa Mataifa (1989) na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977), Mtoto ni mtu yeyote mwenye umri...
Utangulizi:
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekabiliana na changamoto nyingi zinazohusu uwajibikaji na utawala bora katika sekta mbalimbali. Kukosekana kwa uwazi, taasisi dhaifu, na...
KWANI SH. NGAPI?
Lakini ni dhahiri kwamba tumefanya makosa katika kuchagua silaha; kwani silaha tuliyochagua ni hela. Tunataka kuondoa unyonge wetu kwa kutumia silaha ya wenye nguvu, silaha ambayo...
Uwajibikaji ni dhana inayochukuliwa kwa pande mbili katika viongozi mbalimbali wa umma na wale wa siyo wa umma kutokana na mazingira yanayoweza kusababisha viongozi kuingia kwenye hofu ya...
Cheo cha Katibu Tarafa kifutwe
Kama tunavyofahamu kwa mujibu wa Mwongozo wa Uwajibikaji wa Maafisa Tarafa katika Wilaya na Halmashauri za Serikali za Mitaa wa tarehe 18 Desemba, 2003 pamoja...
KIZUNGUMKUTI SEKTA YA MICHEZO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA YA MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI
Kwa miaka kadhaa sekta ya michezo imekuwa ikizidi kukua siku hadi siku na kujiongezea...
UWAJIBISHWAJI WA SHIRIKA LA UMEME TANZANIA - TANESCO
Bila shaka tunatambua na kuona jinsi shirika letu la Umeme Tanzania ambavyo limekuwa likiendelea kutanua wigo wake wa kutoa huduma na kuja na...
UBOVU WA MAWASILIANO KATIKA TAASISI ZETU ZA UMMA
Katika karne hii ya sayansi na teknolojia inasikitisha sana kuona taasisi zetu zikiwa hazifanyi sana vizuri katika utoaji huduma kwa...
Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili,
1: WATU WENYE...
Ni dhahili hali sasa inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyoenda. Mwanadamu amekua akifurahia na kuvumbua dhana mbalimbali za kumsaidia kazi! Maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia yamepamba moto...
Mtazamo wa mwananchi. Kama raia atakaye nchi yake iwe yenye maendeleo na ustawi kwa jamii, ni lazima kila idara iwe na uwajibikaji wa hali ya juu, uwajibikaji huo uwe na nidhamu ya nchi husika...
MGONGANO WA KIMASLAHI, SINTOFAHAMU KWA WATOA HUDUMA TANZANIA
Mgongano wa maslahi ni dhana pana na haina tafsiri moja. Kwa maana rahisi ni: Hali ya kukinzana kati ya maslahi binafsi ya kiongozi au...
Hakuna kitu kikubwa kwenye hii dunia kama maendeleo kwenye jamii, hakuna furaha inayopatikana kwenye jamii kama ya uhakika wa kesho, hakuna furaha zaidi inayopatkana kwenye jamii kama ile ya...
Tanzania, taifa mahiri la Afrika Mashariki linalojulikana kwa utamaduni wake tajiri na urembo wa asili, liko katika hatua muhimu katika safari yake ya kufikia maendeleo endelevu. Ingawa maendeleo...
UWAJIBIKAJI ni moja kati ya misingi ya Utawala Bora ambapo kutekelezwa kwa msingi huu kwa ukamilifu ni kutekelezeka kwa misingi mengine ya Utawala Bora kama vile ufanisi na tija, kuzingatia...
Mama Shujaa alikuwa mama wa watoto watatu, aliyekuwa akisimamia biashara ndogo ya kuuza mboga mboga katika soko la mji wa Kibaigwa. Lakini alikuwa na shida nyingi sana katika biashara yake...
Katika kijiji kidogo nchini Tanzania, kijana mwanamke aliyeitwa Amina alikuwa amechoshwa na ukosefu wa uwajibikaji na uwazi katika mfumo wa afya. Aliweza kushuhudia kwa macho yake mwenyewe ugumu...
Habar wapendwaa, leo nataka nishare na nyie changamoto iliyopo kwa sasa ukitaka kupata leseni ya udereva hasa kwa class C na E, nipasua kichwaaaa.
Mimi ni dereva, leseni yangu iliisha muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.