Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

WATU, SIASA NA MAENDELEO Watu ni Wananchi, Wananchi ni watu wanaotambulika kisheria kitaifa katika serikali au jimbo la kawaida iwe kuomba au kuzaliwa. Kwa uelewa Wangu mdogo najua kuwa Raia na...
2 Reactions
1 Replies
397 Views
Upvote 4
LUCK and CHOICES Hakuna mtu ambaye hajawahi kusikia neno BAHATI(LUCK) ,.Ila Hakuna kitu Bahati Lakini Kila kitu ni Bahati. Wazungu wanasema Bahati ni Sawa na Fursa ukaongeza na maandalizi ya hiyoo...
2 Reactions
1 Replies
228 Views
Upvote 4
WATU NI MTAJI Mtaji ni Fedha ambayo ni lazima uwe nayo katika mwanzo wa biashara yoyote ile. Mtaji ndio msingi mkuu wa biashara yoyote ile ili iweze kukua na kufikia malengo na matamanio ya...
2 Reactions
1 Replies
242 Views
Upvote 7
KIZUNGUMKUTI CHA MAADILI NCHINI TANZANIA. Miaka ya hivi karibuni duniani kote na hata Tanzania, kumeshuhudiwa kuwapo Kwa suala la Kizungumkuti cha maadili na limeonekana kuwa suala mtambuka na...
1 Reactions
2 Replies
375 Views
Upvote 3
Hii wala haihitaji aya nyingi ili ieleweke, ni maneno machache ya kutufanya tubadili mindset zetu kwenye kuweka akiba. Unapata hela unataka uitumie umalize shida zako ikibaki elfu tano ndio...
1 Reactions
4 Replies
306 Views
Upvote 4
KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA UTANGULIZI Dhana ya utawala bora na uwajibikaji ni kama pande mbili za sarafu moja, ili kuwepo na utawala bora uwajibikaji ni nguzo muhimu ambayo ni ya...
0 Reactions
2 Replies
641 Views
Upvote 2
๐™ˆ๐™˜๐™๐™–๐™ ๐™–๐™ฉ๐™ค ๐™ฌ๐™– ๐™ˆ๐™–๐™—๐™–๐™™๐™ž๐™ก๐™ž๐™ ๐™ค ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™–๐™ฉ๐™ž๐™—๐™– ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฏ๐™–๐™ฃ๐™ž๐™–: ๐™†๐™ช๐™š๐™ก๐™š๐™ ๐™š๐™– ๐™๐™ฉ๐™–๐™ฌ๐™–๐™ก๐™– ๐˜ฝ๐™ค๐™ง๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™๐™ฌ๐™–๐™Ÿ๐™ž๐™—๐™ž๐™ ๐™–๐™Ÿ๐™ž. #StoriesOfChange2023 Na Godlisten E. Mwasha Email:gmwasha9@gmail.com Phone:0687495993. Katiba ni msingi muhimu...
1 Reactions
1 Replies
392 Views
Upvote 2
UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya...
2 Reactions
1 Replies
424 Views
Upvote 3
Habari! Itungwe sheria ya dharura itakayofanya kazi kwa kipindi kifupi (yaani sheria ya mpito). Kila mtumishi wa umma mwenye umri wa miaka 50 na kuendelea astaafishwe kwa lazima na nafasi yake...
2 Reactions
1 Replies
259 Views
Upvote 3
Mapungufu ya mtu, yanaonekana katika ubinadamu wake, kwa kile anacho kifanya, hata hivyo tuna uwezo wa kufanya yote, kuwa makamilifu bila ya kurudia makosa yoyote. Jifunze. Unapotaza mapungufu ya...
1 Reactions
1 Replies
370 Views
Upvote 3
Ukikubali kuajiriwa lazima ukubali unafanya kazi ili ulipie gharama za uendeshaji ikiwa pamoja na mshahara wako pia umtengenezee faida muajiri wako. Muajiriwa-: Jitahidi Sana kutambua kuwa...
0 Reactions
2 Replies
249 Views
Upvote 1
Utangulizi: MADALALI WA nyumba ni watu maalumu wanaoingia makubaliano na mmiliki wa nyumba kwa ajili ya kutafuta wapangaji. Katika makubaliano hayo mpangaji atatakiwa amlipe dalali pesa ya kodi ya...
1 Reactions
1 Replies
440 Views
Upvote 2
Kwa kuanza, swala la uzalendo ni swala pana hasa katika maslahi ya nchi au taifa kwa ujumla. Tukianza na viongozi waasisi Mfano Nyerere wa Tanzania na Mandela wa Africa ya kusini walikuwa ni...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Upvote 3
Utangulizi Imani ya uwajibikaji ni hali ya kuamini katika ufanisi wako ili kuleta mafanikio. Kuwajibika kwa kiongozi sio hiari bali ni lazima kwa ajiri ya watu anaowatumikia. Kiongozi ni mtu...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Upvote 1
Kwa kuanza, moja kati ya nchi zenye idadi kubwa kabisa ya vijana barani Africa ni Tanzania. Ila chakusikitisha ni kwamba idadi ya vijana wengi wakitanzania hawazitambui nafasi zao katika jamii...
1 Reactions
3 Replies
439 Views
Upvote 2
nchi yetu, itakuwa na vijana wenye kujikimu kimaisha iwapo tu tutajitambua kwamba sisi ndiyo wajenzi wa nchi. tukijua kwamba sisi ndiyo wategemewa wa kesho, fursa zilizopo katika jamii yetu ni...
1 Reactions
1 Replies
233 Views
Upvote 2
RISASI MBILI Kuna kisa kimoja kuhusu โ€œrisasi mbiliโ€ CHEUSI, muuaji, mpiga risasi ambaye havuti wala halewi, alikuwa ameenda Masaki kutembelea nyumba ya mpenzi wake karibu na barabara ya Chole...
0 Reactions
0 Replies
383 Views
Upvote 1
Mimi ni Mariamu, mwanamke mwenye umri wa miaka 40, mke na mama wa watoto wawili. Kama mtoto, nilitamani siku moja kuwa mjasiriamali, lakini haikuwa rahisi sana kwangu. Nilipata elimu ya chuo kikuu...
1 Reactions
2 Replies
946 Views
Upvote 2
Uhusiano wa kanuni hii kwenye Utawala na uwajibikaji katika maendeleo. Falsafa kuu ya maisha ni kujua kua umeumbwa hapa duniani kufanya nini, mwenyezi Mungu amekusudia wewe ufanye nini hapa...
2 Reactions
2 Replies
580 Views
Upvote 3
(MFUMO WA KIDOLE GUMBA) Kidole gumba ni wazo la kuanzisha mfumo wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa njia ya kidigitali na kupiga kura kielektroniki kwa kutumia alama ya kidole...
1 Reactions
1 Replies
541 Views
Upvote 6
Back
Top Bottom