Wezi waiba kilo 50 za mahindi ya kande Kanisa la Sabato Kibiti

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,375
4,993
Wadau hamjamboni nyote

Habari mbaya kutoka.

Wezi wamevunja na kuiba mahindi ya Kande kilo 50, Maharage kilo tano, mafuta Lita moja na nusu usiku wa kuamkia jana. kwenye Kanisa la Waadventista Wasabato Kibiti

Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Protas Mutayoba amethibitisha tukio hilo na kusema msako mkali unaendelea kuwanasa wahusika.

Niwatakie jumapili njema

MCL
 
Dah we jamaa kwahy imekuuma sio sasa kilo 50 ndio ya kusemaa kwenye mitandao au msosh kwenu ni ishu ya maana oyaaaaa unatia aibu hao sio wez ni njaa tu zinawasumbua pumbv mtoaaaa uu
 
Dah we jamaa kwahy imekuuma sio sasa kilo 50 ndio ya kusemaa kwenye mitandao au msosh kwenu ni ishu ya maana oyaaaaa unatia aibu hao sio wez ni njaa tu zinawasumbua pumbv zako mtoaaaa uu
 
Wadau hamjamboni nyote

Habari mbaya kutoka.

Wezi wamevunja na kuiba mahindi ya Kande kilo 50, Maharage kilo tano, mafuta Lita moja na nusu usiku wa kuamkia jana. kwenye Kanisa la Waadventista Wasabato Kibiti

Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Protas Mutayoba amethibitisha tukio hilo na kusema msako mkali unaendelea kuwanasa wahusika.

Niwatakie jumapili njema

MCL
Mngewaita wahitaji kugawa chakula mjue hamtoi sadaka kwa wahitaji
 
Dah we jamaa kwahy imekuuma sio sasa kilo 50 ndio ya kusemaa kwenye mitandao au msosh kwenu ni ishu ya maana oyaaaaa unatia aibu hao sio wez ni njaa tu zinawasumbua pumbv zako mtoaaaa uu
Itakuwa wewe ndiyo Umeiba makande hayo,hata unavyoandika tu inaonekana kabisa umeshiba makande ya wizi, rudisha makande yetu mwizi mkubwa wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom