Waziri Nape Nnauye atembelea Ofisi za JamiiForums, leo Mei 9, 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,884
12,133
IMG_1903.jpeg

Nukuu: Nape Nnauye

Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala.

Nimefurahi kuja kuwaona, sikuwahi kujua nyie ni wakubwa kiasi hiki. Nimeona kazi mnazofanya, nimeguswa sana na mambo yenu kuanzia structure yenu. Tunaamini katika jamii iliyo na taarifa sahihi, kwakuwa ninyi mnaamini katika hilo basi mnakutana na sisi hapo.

Sisi kama Serikali tunafurahishwa na mambo mnayofanya, tumekuja hapa kuwaonesha kuwa tunawaunga mkono na nimefurahi sana kuwa hapa. Niwaahidi sisi kama Serikali tutaendelea kufanya kazi pamoja. Mfano mna Jukwaa la Uhakiki wa taarifa, linaweza kusema taarifa hii ni ya uongo au la, hongereni sana. Milango yangu ipo wazi muda wote.

IMG_20240509_193813_440.jpg

Nimekuja hapa kuleta Salamu za Serikali, hata kutunga Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeanzia hapa JamiiForums, kwa mara ya kwanza niliiona kwa Maxence Melo, na hata kwenye kuteua bodi sikusita kumteua Maxence, tunajua historia yenu, yaliyopita ni historia, tugange yajayo.

Nimefurahishwa sana pia na mpango wa JF kwenda nchi nyingine, nafurahi naweza kuwaambia mawaziri wenzangu kuwa sasa tuna jambo letu, ni jambo kubwa sana maana tumezoea kutumia vitu vya wenzetu sasa tuna kitu chetu wenyewe kinachoweza kutumiwa na watu wa nchi zingine.

Mpo kwenye mikono salama, fanyeni kazi mkijiamini, mimi mwenyewe ni verified member wenu.

IMG_20240509_192514_989.jpg
 
Waziri Nape Nnauye atembelea Ofisi za JamiiForums

Nape Nnauye

Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala.

Nimefurahi kuja kuwaona, sikuwahi kujua nyie ni wakubwa kiasi hiki. Nimeona kazi mnazofanya, nimeguswa sana na mambo yenu kuanzia structure yenu. Tunaamini katika jamii iliyo na taarifa sahihi, kwakuwa ninyi mnaamini katika hilo basi mnakutana na sisi hapo.

Sisi kama Serikali tunafurahishwa na mambo mnayofanya, tumekuja hapa kuwaonesha kuwa tunawaunga mkono na nimefurahi sana kuwa hapa. Niwaahidi sisi kama Serikali tutaendelea kufanya kazi pamoja. Mfano mna Jukwaa la Uhakiki wa taarifa, linaweza kusema taarifa hii ni ya uongo au la, hongereni sana. Milango yangu ipo wazi muda wote. Movement yenu hii itafanya bara la Afrika kuwa moja.

Nimekuja hapa kuleta Salamu za Serikali, hata kutunga Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeanzia hapa JamiiForums, kwa mara ya kwanza niliiona kwa Maxence Melo, na hata kwenye kuepa bodi zsikusita kumteua Maxence, yaliyopita ni historia, tugange yajayo.

Mko mkono salama, fanyeni kazi mkijiamini, mimi mwenyewe ni verified member wenu.

Nimefurahishwa sana pia na mpango wa JF kwenda nchi nyingine, nafurahi naweza kuwaambia mawaziri wenzangu kuwa sasa tuna jambo letu, ni jambo kubwa sana maana tumezoea kutumia vitu vya wenzetu sasa tuna kitu chetu wenyewe kinachoweza kutumiwa na watu wa nchi zingine.
Baada ya kumwona juzi mzungu kaitembelea ofisi ya jukwaaa letu pendwa, nape bhana sijui alifikiri yule mzungu kaja na maburungutu ya dolar
 
Waziri Nape Nnauye atembelea Ofisi za JamiiForums

Nape Nnauye

Nimekuwa verified member wa JamiiForums tangu zamani, pia malezi ya chama changu yamenifanya nipende mjadala.

Nimefurahi kuja kuwaona, sikuwahi kujua nyie ni wakubwa kiasi hiki. Nimeona kazi mnazofanya, nimeguswa sana na mambo yenu kuanzia structure yenu. Tunaamini katika jamii iliyo na taarifa sahihi, kwakuwa ninyi mnaamini katika hilo basi mnakutana na sisi hapo.

Sisi kama Serikali tunafurahishwa na mambo mnayofanya, tumekuja hapa kuwaonesha kuwa tunawaunga mkono na nimefurahi sana kuwa hapa. Niwaahidi sisi kama Serikali tutaendelea kufanya kazi pamoja. Mfano mna Jukwaa la Uhakiki wa taarifa, linaweza kusema taarifa hii ni ya uongo au la, hongereni sana. Milango yangu ipo wazi muda wote.

Nimekuja hapa kuleta Salamu za Serikali, hata kutunga Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeanzia hapa JamiiForums, kwa mara ya kwanza niliiona kwa Maxence Melo, na hata kwenye kuepa bodi sikusita kumteua Maxence, yaliyopita ni historia, tugange yajayo.

Nimefurahishwa sana pia na mpango wa JF kwenda nchi nyingine, nafurahi naweza kuwaambia mawaziri wenzangu kuwa sasa tuna jambo letu, ni jambo kubwa sana maana tumezoea kutumia vitu vya wenzetu sasa tuna kitu chetu wenyewe kinachoweza kutumiwa na watu wa nchi zingine.

Mko mkono salama, fanyeni kazi mkijiamini, mimi mwenyewe ni verified member wenu.
Kaenda kupeleleza??
 
Back
Top Bottom