Wamalawi 12 Wakamwatwa Israel kwa kutoroka kazi za Mashambani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,031
1,648
Raia 12 wa Malawi ni miongoni mwa raia 40 wa Kigeni waliokamatwa baada ya kuacha kazi kwenye mashamba ya Arava na Lion kutokana na kulipwa Ujira mdogo na kwenda kutafuta kazi za zenye malipo bora zaidi Mjini Bnei Brak

Austin Chipeta, Kiongozi wa Jamii ya Wamalawi nchini humo amesema Watu hao wamezuiliwa kwenye Gereza lenye Usalama mkubwa huku wakisubiri kurejeshwa katika Nchi zao

Mwaka 2023, Wamalawi 221 waliondoka kwenda Israel kufanya kazi kama Wakulima katika makubaliano ya Usafirishaji wa nguvu kazi yaliyosainiwa kati ya nchi hizo mbili mwaka wa 2022

Kwa mujibu wa gazeti la Israel la Haaretz takriban Wanafunzi wa Kigeni 17 walioletwa na Serikali kwa ajili ya Programu ya Kilimo wamekuwa Waathirika wa Utumwa Mamboleo

Makubaliano hayo yalikabiliwa na Ukosoaji huku makundi ya Haki Za Binadamu wakielezea wasiwasi wao kuhusu siri inayozunguka makubaliano hayo na hatari za usalama kwa Wafanyakazi

.......

Malawians arrested in Israel for abandoning farm work

Israeli army officer cadets, who volunteered to harvest Chenin Blanc white wine grapes in the Nana Estate Winery vineyards, are briefed before starting to work at dawn on August 3, 2022 near Mitzpe Ramon in Israel's Negev Desert.

A dozen Malawians have been arrested in Israel for leaving their designated work stations in farms to seek employment in a town, authorities said.

They were among 40 foreign workers who abandoned their farm work in southern Israel to seek jobs at a bakery in Bnei Brak city, east of Tel Aviv, Malawi's Information Minister Moses Kunkuyu told local media.

He did not say if Malawi was engaging with Israeli authorities about the matter, but only urged Malawians there to respect the terms of their employment and avoid engaging in illegal activities.

Austin Chipeta, the leader of the Malawi society in Israel, told Malawi's The Nation news website that the group, which fled the Arava and Lion farms, was detained at a maximum security prison in south Tel Aviv, near Shapira neighbourhood, pending deportation.

Salaries in the farms are much lower and the Malawians were seeking better paying jobs in nearby towns, Mr Chipeta said.

Last year, 221 Malawians departed for Israel to work as farm labourers in a labour export deal signed between the two countries in 2022.

The deal is aimed at generating more foreign exchange revenue for Malawi and providing employment opportunities for its citizens.

However, the deal has faced criticism and controversy, with some opposition politicians and human rights groups expressing concerns about the secrecy surrounding the deal and the potential risks to workers’ safety.

According to Israel's Haaretz newspaper, at least 17 foreign students brought over by an Israeli government farming programme have ended up as victims of modern slavery

Source: BBC
 
Wamevunja mikataba
Toka wanatoka nchini kwao walikuwa wanaenda mashambani na mishahara Yao na Kipindi wanachotakiwa kufanya kazi hizo na Visa zao walipewa Kwa ajili hiyo .Hivyo Israel kuwakamata hao watoro ni sahihi na ni sahihi kuwaridisha kwao Malawi wangesubiri mikataba uishe ndio watafute mwajiri mwingine ambaye pia ndio angewaombea Visa mpya ya kufanya kazi kuwa wako kwake
 
Aah would you say the same if were arabs?
 
Ingekuwa warabu mpaka sasa comments za huu uzi zingekuwa 1000.

Zote zikielezea ukatili wa warabu na wanavyolipa malipo madogo kwa wafanyakazi wao.
Hata mzungu awe katili vipi hawezi mfikia mwarabu hata robo. Ogopa binadamu yeyote duniani anayeweza kumchinja binadamu mwenzie kama kuku. Wazungu kibao wamezaa na weusi bila kujali hata dini zao. Nionyshe mwarabu hata mmoja aliyezaa na mweusi na akaishi naye jamii yake ikajua na kukubali hata wa Ilala au Kariakoo. Hao jamaa ni wabaguzi zaidi ya makaburu wa South Africa.
 
Mambo ya kuzaa yanaingiaje hapa? Mapenzi yanalazimishwa uliwahi kuona wapi?
 
Wamevunja mikataba
Toka wanatoka nchini kwao walikuwa wanaenda mashambani na mishahara Yao na Kipindi wanachotakiwa kufanya kazi hizo na Visa zao walipewa Kwa ajili hiyo .Hivyo Israel kuwakamata hao watoro ni sahihi na ni sahihi kuwaridisha kwao Malawi wangesubiri mikataba uishe ndio watafute mwajiri mwingine ambaye pia ndio angewaombea Visa mpya ya kufanya kazi kuwa wako kwake
UTumwa mambo leo
 
Back
Top Bottom