Wachawi wanavyokujia usiku ukiwa umelala usingizi Wanakuchezea mwili wako wanavyotaka

Kikubwa zaidi Mchawi hana kibali cha kutoa uhai wa Mtu bila ya idhini ya Mungu pekee, eg; Mungu kumpatia kibali Shetani kumjaribu Ayubu isipokuwa asiguse roho yake.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kikubwa zaidi Mchawi hana kibali cha kutoa uhai wa Mtu bila ya idhini ya Mungu pekee, eg; Mungu kumpatia kibali Shetani kumjaribu Ayubu isipokuwa asiguse roho yake.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kuna siku nilipata kusikiliza mganga mmoja anasema kuua mtu sio jambo jepesi kama wengi wanavofikiria. Akasema hivi mtu anavokuja na ombi la kwamba nataka fulani afe, huwa jamaa wanaingia kwenye vipimo vya kumchunguza huyo mtu vipimo kama, 1. Ulinzi wa Kiroho alio nao huyo mtu,kama una ulinzi hafifu unakumbwa na dhoruba

pili wanaangalia agano la Umri wa kuishi duniani kati ya Mungu na huyo mtu tangu alipozaliwa( Mfano; Agano la huyo mtu na Mungu ilikua ni kuishi miaka 70) na wakati wanapofanya kutekeleza hilo huyo mtu labda ana 40 years kabakisha 30 ili agano lake na mungu liishe.., sasa anatakiwa kupunguzwa umri wa 70 yrs na hadi 40 yrs umri alio nao ndipo zoezi lifanikiwe.,

NB;Mungu ana mamlaka ya kuongeza Umri wa kuishi mwanadamu.👉[Siku hizo Hezekia aliugua, akawa katika hatari ya Kufa; na Isaya nabii, mwana wa Amozi, akaenda kwa mfalme, akamwambia, BWANA asema hivi, Tengeneza mambo ya nyumba yako; maana utakufa, wala hutapona….Ikawa ,neno la BWANA likamjia Isaya, kusema, Enenda ukamwambie Hezekia, BWANA, Mungu wa Daudi, baba yako, asema hivi, Mimi nimeyasikia maombi yako, nimeyaona machozi yako; tazama, nitaziongeza siku zako, kiasi cha miaka kumi na mitano ]-Isaya 38:1, 4-5.

Tatu,kingine magonjwa aliyo nayo huyo mtu nayo yanakua kama accelerator ya kukupiga dhoruba yakuondoe hayo hayo.

Tuzidi kumwomba Mungu tupate ulinzi wake.

Ulimwengu wa Roho ni Mpana sana.
 
Back
Top Bottom