Waambien Azam,huwez kua unataka kumaliza nafasi ya pili halaf unacheza kwa kumdharau mpinzani

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,790
3,397
Habara mwanajukwaa la michezo.

Kiukweli nianze kwa kusema maneno mafupi tu Azam haistahili kucheza Champions League msimu ujao..Mi shabiki wa mpira naufahamu mpira vizur.

Jana baada ya ile Half time nilienda kwa mshikaji wangu wa M-Pesa nikata kuweka 50k ila akasema kwa sababu ya protocal zake ule mda asingewez niwekea kias hicho..nikaumia sana.

Ujue why?? mi niliona kabisa Azam anamdaharau Simba nikaishia kumwambia yule jamaa wa M-pesa,kua Bro mfate Simba na Chuma 2+

Nimeangalia games mbili za Ligi Msimu huu Azam Vs Simba, Azam kacheza kwa kumdharau sana Simba na badala yake kampa point 4 mshindan mwenzake wa nafasi ya Pili.

Azam anaenda na kelele za mitandaon na kwa media mbalimbali kua Simba Mbovu na anaidharau.

Azam wanafikiri na wao ni Yanga ukimfunga Yanga sio umemfunga na Simba.

Nahisi saiv ndio mtaelewa why Viongozi wa Yanga kwenye Match ya Mzinguko wa pili walikazia kusema Simba ni Team tishio hawakutaka kuwafanya wachezaji wabweteke.

Jana unaangalia mpira unaona Azam No spirit at all Team inacheza as If wao ndio wanaongoza kwa tofaut ya points 10!!

Kuna ki Idd Nado vinavuta Jezi tu ya mikono mirefu kama kinavyofanyaga kifala kimoja pale Man United ki Rashford.

Yani ile Azam isiende popote..Wachezaji wanacheza wakiguswa kidogo wanaanguka wanamwangalia Refa daah...Hata ile game ya Mwanza walistahili kuondoka na points 3 ila walianza dharau hadi nusura wakose hata hio point 1 dadeek zao.

Kama naongea uongo aje mtu aseme hapa kama Azam michezo yote miwili kazidiwa mbinu na simba?

Answer NO Bali ni walidharau games zote.

Simba malizen nafasi ya 2 twende kimataifa wote hii Nchi kumbe bado ni ya Simba na Yanga tu.
 
mh! kwahiyo Simba mmekuja na maneno kama vile mmeshika hata hiyo nafasi ya pili...?
nyie na azam mmekuwa wakupashana sikuhizi..🤣
 
Hao ndio Azam, hawajuagi wanachopambania uwanjani, utoto mwingi, dharau na kucheza kwa madoido, wanajiona mastaa. Tokea watolewe nyumbani na wale wa Ethiopia nikaitoa thamani hii timu kuwa haina dira na wachezaji uwanjani hawajui wanachotakiwa kufanya. Walikuwa na nafasi ya kubeba kombe wameshindwa, walikuwa na nafasi ya kucheza klabu bingwa wanaikosa pia. Yaani kila miaka wanashindana na Simba na Yanga kwenye uwekezaji halafu mwisho wa siku wanaishia kuwa timu ndogo tu.
 
Hii Simba sio mbovu kama watu wanavyodhani. Kilichotokea Yanga imekua bora zaidi ya Simba ilivyo. Yanga ametengeneza timu imara sana kiasi cha kuweza kuchuana na miamba ya soka Afrika. Wote tulijionea.

Kinachotokea Simba ipo kwenye standard yake ile ile hawajajiboresha kuendana na kasi ya Yanga lazima mtamuona mbovu tu. Mimi jana sikujiuliza mara mbili nlipoona muhindi kampa Simba Odds 2.8 nikalipuka nazo.
 
Poor Team ever!
 
Mkuu unaujua Mpira🤝
 
Mleta mada sidhani kama ni mfatiliaji mzuri wa mpira Azam hakucheza kwa dharau ila walikuwa na siku mbaya kazini waliingia kwenye mfumo wa Simba Azam asingeweza kumdharau Simba kwani ni juzi tu ametoka kufungwa kwenye kombe la muungano alikuwa anajua kabisa anakutana na Simba ya namna gani. Sema mashabiki wengi wa yanga wameumia Simba kumfunga Azam matarajio yao ilikuwa Simba afungwe walikariri
 
Mleta mada sidhani kama ni mfatiliaji mzuri wa mpira Azam hakucheza kwa dharau ila walikuwa na siku mbaya kazini waliingia kwenye mfumo wa Simba Azam asingeweza kumdharau Simba kwani ni juzi tu ametoka kufungwa kwenye kombe la muungano alikuwa anajua kabisa anakutana na Simba ya namna gani. Sema mashabiki wengi wa yanga wametumia Simba kumfunga Azam matarajio yao ilikuwa Simba afungwe walikariri
Mkuu Azam jana hakujaa kwenye Mfumo wa Simba hata kidogo First Half azam alistahili kwenda na goli 2 kama uliangalia mpira.
Halaf mi nimekuambia kuanzia match ya kwanza ile ya Mwanza angalia Azam walianza kujilaza dakika ya 70+ pale wanacheza kiulaini sana.

Jana angalia huyo Idd nado na Faisal walikua too softy haitofautiani na game ya kwanza kaiangalie utajiuliza hivi hii Azam inataka nini?

Narudia Mkuu,Jana simba hajamzidi Azam mbinu huo ni uongo niambie goli gani lililofungwa lakusema hili ni Tactics walizidiwa yote ya uzembe na ulegevu wao we jiulize Freddy yupo mmoja beki wawili hadi ana shoot serious?

Halaf unakuja unasema wamezidiwa mbinu??
kaangalie alichokua anakifanya Bangala kaangalie Ishara alizokua anawapa utaona kabisa alikua anaona kuna uzembe na alikua ana command wapambane fatilia.
 
Habara mwanajukwaa la michezo.

Kiukweli nianze kwa kusema maneno mafupi tu Azam haistahili kucheza Champions League msimu ujao..Mi shabiki wa mpira naufahamu mpira vizur.

Jana baada ya ile Half time nilienda kwa mshikaji wangu wa M-Pesa nikata kuweka 50k ila akasema kwa sababu ya protocal zake ule mda asingewez niwekea kias hicho..nikaumia sana.

Ujue why?? mi niliona kabisa Azam anamdaharau Simba nikaishia kumwambia yule jamaa wa M-pesa,kua Bro mfate Simba na Chuma 2+

Nimeangalia games mbili za Ligi Msimu huu Azam Vs Simba, Azam kacheza kwa kumdharau sana Simba na badala yake kampa point 4 mshindan mwenzake wa nafasi ya Pili.

Azam anaenda na kelele za mitandaon na kwa media mbalimbali kua Simba Mbovu na anaidharau.

Azam wanafikiri na wao ni Yanga ukimfunga Yanga sio umemfunga na Simba.

Nahisi saiv ndio mtaelewa why Viongozi wa Yanga kwenye Match ya Mzinguko wa pili walikazia kusema Simba ni Team tishio hawakutaka kuwafanya wachezaji wabweteke.

Jana unaangalia mpira unaona Azam No spirit at all Team inacheza as If wao ndio wanaongoza kwa tofaut ya points 10!!

Kuna ki Idd Nado vinavuta Jezi tu ya mikono mirefu kama kinavyofanyaga kifala kimoja pale Man United ki Rashford.

Yani ile Azam isiende popote..Wachezaji wanacheza wakiguswa kidogo wanaanguka wanamwangalia Refa daah...Hata ile game ya Mwanza walistahili kuondoka na points 3 ila walianza dharau hadi nusura wakose hata hio point 1 dadeek zao.

Kama naongea uongo aje mtu aseme hapa kama Azam michezo yote miwili kazidiwa mbinu na simba?

Answer NO Bali ni walidharau games zote.

Simba malizen nafasi ya 2 twende kimataifa wote hii Nchi kumbe bado ni ya Simba na Yanga tu.
Azam hakuna dharau na wachezaji waliambiwa wasikamie kama kule Mwanza wacheze kufuata maelekezo tu na wahakikishe wanafungwa ndo maana nondo zao ziliwekwa benchi Amoah, Mwaikenda (taifa stars), Sopu (taifa stars) na Manyama.

Yule mla ugali sukari wa mkunazini akapigilia msumari wa mwisho kwa kupiga penalty nje kwa makusudi, ujinga mtupu, hii Simba iliyochapwa mbili bila na Bwana Jela Bangula na kudroo na Waziri Junior wa KMC haina msuli wa kuibamiza Azam 3-0. Hili nitasimama nalo! Mechi iliuzwa full stop!!

Azam wameboa mno mno. Japo nafasi bado ipo kidogo maana Simba my wetu bado mbovu tu (7-2)
 
Azam hakuna dharau na wachezaji waliambiwa wasikamie wacheze kufuata maelekezo tu ndo maana nondo zao ziliwekwa benchi Amoah, Mwaikenda, Sopu na Manyama.

Yule mla ugali sukari akapigilia msumari wa mwisho kwa kupiga penalty nje kwa makusudi, ujinga mtupu, hii Simba iliyochapwa mbili bila na Bwana Jela Bangula na kudroo na KMC haina msuli wa kuibamiza Azam 3-0.

Azam wameboa mno mno. Japo nafasi bado ipo kidogo maana Simba bado mbovu tu
Nafasi ipo wapi? Kama umewaza kuwa jana Azam imeiachia Simba ili ashike nafasi ya pili basi ujue nafasi tena hakuna kwasababu hata mechi zingine watacheza chini ya kiwango ili wafungwe au kutoa sare ili azidiwe na Simba point
 
Back
Top Bottom