Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,471
- 11,454
Uturuki kwa muda mrefu tena muda uliokuwa mgumu zaidi kwa wapalestina ilitumia mdomo pekee kuilaani Israel bila kutoa msaada ambao ina uwezo nao.
Miezi sita kuelekea saba ndio sasa imeamua kuibana Israel kiuchumi kwa kuzuia bidhaa zake 54 zisisafirishwe kwenda nchini huko.Miongoni mwa bidhaa hizo ni mafuta ya ndege,Aluminium na saruji.
Kilichoikasirisha Uturuki kupelekea maamuzi hayo ni kuzuiwa na Israel fursa ya kuwadondoshea mahitaji wapalestina wa jimbo la Gaza kwa kutumia ndege zake za kijeshi.
Mkakati huo utaendelea mpaka hapo Israel itakapositisha vita vyake na Hamas na kuruhusu kuingia kwa bidhaa Gaza bila vikwazo.