DOMINGO THOMAS
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 278
- 239
- Thread starter
- #261
Najibu nilicho ulizawa.Wee jamaa ni takataka Sana, hivi umekaa na pesa ya mtu miaka yyote na thaman yake ibak ile ile?
Najibu nilicho ulizawa.Wee jamaa ni takataka Sana, hivi umekaa na pesa ya mtu miaka yyote na thaman yake ibak ile ile?
Hawawezi kuwa pensionable sifa za kuwa pensionable ni Uchangie zaidi ya miaka 15 au Miezi 180, Mbunge anakaa madarakani miaka 5, Ajira anaajiriwa mtu ambaye yuko chini ya miaka 45 ili apate sifa za kuwa pensionable lakini Mbunge anagombea mtu mwenye umri hata juu ya 45. Kifupi wabunge hawawezi kuwepo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.Unaonaje na wao waingizwe kwenye mifuko Hii, Kama kikokotoo Ni kizuri
Simjui huyo mtu.Jambo liko wazi, Logikos na DOMINGO THOMAS Ni I'd za mtu mmoja.
Ulicho kiandika ndicho kinacho fanyika.Lipeni fedha zao kwa mkupuo kama mnavyowalipa wabunge....Kama mtu amechangia zaidi ya miaka 15 basi apewe na pensioni yake ya kila mwezi ,mnatumia fedha zao kwenye miradi hewa na kutapakanya fedha kisha mnakuja na mipango ya kuwadhulumu wafanyakazi.
Vizuri.Bora nilijiajiri aisee! Bakini na Usomi wenu.
😀😀 Karibu.Utapewa mil 5 za bure za utetezi wa kikokotoo kipya kama Yale magoli ktk mechi za kimataifa
Inaonekana umecopy hili bandiko mahali bila ata kupitia na kuelewaHakuna sehemu kwenye formula kuna 30 na 50.
1/580 : Kikokotoo LimbikiziInaonekana umecopy hili bandiko mahali bila ata kupitia na kuelewa
Kikokotoo kipya cha:
1/580 × APE x PoS x 12.5 x 33%
Na kikokotoo cha zamani cha LAPF na PSPF yaani
1/540 × LAS x PoS x 15.5 x 50%
embu fafanua hizo inputs za mwisho 33% na 50%
Hujielewi wewe..na ulivyo sema hakuna 50% ulimaanisha nn?1/580 : Kikokotoo Limbikizi
APE : wastani wa mishaara bora ya miaka mitatu, ndani ya miaka 10 kabla ya kustaafu
PoS : Miezi ya uchangiaji katika mfuko.
12.5 : Makadirio ya miaka 12.5 ya kuishi baada ya kustaafu
33% : Kiwango cha mkupuo
Mimi najibu ulicho andika kwenye swali lako uliweka Asilimia 50 na 30. Hii asilimia 30 uliyo andika mara ya kwanza uliitoa wapi...!?
Mkuu kuna hizi watu walikuwa ppf alafu wakahamishwa nssf kwa mashirika binafsi hivyo unakuta kule ppf walichangia zaidi ya hiyo miaka 15 alafu huku nssf anakama miaka minne alafu kulikuwa na deal ppf watu wakachukua hela yao yote wakabaki za nssf ila hawakupewa na riba swali langu ni je wakistaafu nssf watawalipa pension ya kila mwezi?Ni unskilled pekee ndiye anapewa pesa yake yote baada ya kutoka kazini/mkataba wake kufika ukomo na kama hajachangia miezi 180 ( miaka 15 ) kama kachangia miezi 180 atalipwa dIffered pension, monthly pension ataanza kulipwa atakapo fika miaka 55
Kwa skilled labor wao wanalipwa Unemployment benefit wanasubiri two years wakitafuta ajiwa wakikosa wanarudi kwenye mfuko kuchukua michango yao yote ( Withdraw )
Hii ni kote PSSSF na NSSF.
Alafu nimesha kuona vitu vingi hujui ila unaleta ujuaji.
Currently hatuna kikokotoo chenye 50%, Tuna 33% kwa mkupuo na 67% kwa pensheni ya kila mwezi.Hujielewi wewe..na ulivyo sema hakuna 50% ulimaanisha nn?
Kwa Mwanachama aliye changia mfuko zaidi ya Mmoja, ya NSSF na PSSSF.. Huyu akistaafu au kupatwa na janga lolote atalipwa na mifuko yote miwili kadri ya alivyo changia.Mkuu kuna hizi watu walikuwa ppf alafu wakahamishwa nssf kwa mashirika binafsi hivyo unakuta kule ppf walichangia zaidi ya hiyo miaka 15 alafu huku nssf anakama miaka minne alafu kulikuwa na deal ppf watu wakachukua hela yao yote wakabaki za nssf ila hawakupewa na riba swali langu ni je wakistaafu nssf watawalipa pension ya kila mwezi?