Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,098
- 7,178
Iweke tu ni mke wa mume mmoja,
Iweke tu ni mke wa mume mmoja,
Wamekubaliana lakini roho zao zina ukakasi japo hawawezi kusemaVp walio kwenye mitala?
bwege au jingaUjumbe murwa kabisa.
Mkuu Mshana Jr Nini maana ya neno "tutusa"
Ahsante Sana mkuu nimejua Sasa
Haya majaribu huwa tunajitengenezea mazingira wenyeweOmbeni msiingie majaribuni
Af mimi ninesoma kuliko wewe 😂😂 bri kunywa mtindi kampeni tunaendelea nayoElimu gani hiyo mnayoipata? Elimu imewasaidia nini kama ndio hiyo unayosema mwanamke akinywa maziwa mgando inasaidia kutoa harufu ukeni? Una elimu ukiulizwa una scientific reasoning and proves huna unaleta blah blah ndio elimu hiyo? Hamna kitu kizazi chenye low IQ mjuacho ni kubet na kuvaa mlegezo. Kizazi cha kufeli kiroho na kimwili. Kizazi ambacho kimeathiriwa na chanjo na uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana. We ungekuwa mwanangu nisingekupeleka shule kama unasema tena kwa kujidai mbele za watu eti maziwa ya mgando yanapingana harufu kwa wanawake. Pumbavu wahead na kilaza mkubwa.
Hahaaa, sio wewe tu inawezekana ukoo wenu wote mkijiunganisha hamnikuti kwa nilivyosoma mkuu. Haya kuwa na usiku mwema.Af mimi ninesoma kuliko wewe 😂😂 bri kunywa mtindi kampeni tunaendelea nayo
Sawa kamweneeeeee 😂Hahaaa, sio wewe tu inawezekana ukoo wenu wote mkijiunganisha hamnikuti kwa nilivyosoma mkuu. Haya kuwa na usiku mwema.
Duuuh bas sawaa,Ahhh vya kazi gani
Tunalea watoto tu
Kila mtu anashinda mechi zake
Pengine kuna kitu kakiona kwakeHuyu aliyemtag faiza kwenye huu uzi,sijui anataka nini yani Kuna watu ni wagombanishi sana,
sawa mzee wangu