Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,223
- 7,418
1. Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE (Dubai, Abu Dhabi na Sharjah), Oman, Kuwait, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini.
2. Hakuna NGO's kama Afrika.
3. Hakuna kinachoitwa "Demokrasia".
Sasa, huku Afrika 24/7 NGOs kila mtaa, vyama vya upinzani kila kukicha kiongozi wa chama cha upinzani ni tajiri ajabu, ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana.