Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,072
- 55,412
Hatari
Zinakuaga na raha yake hasa ziwe za halali hazina ugomvi .Hela za urithi hazina hasara.
Nilizitumbuaaaa.
KATIKA MAISHA HAKUNA KITU KIZURI KAMA KWENDA KU WITHDRAW ATM.
Nisamehe mkuu kampuni iliyumba kweli😁Popote ulipo wewe uliyekataa kunilipa hela yangu kwa kisingizio kuwa kampuni imeyumba, Mungu anakuona, malipo ni hapa duniani
F%#&+ Y*$Nisamehe mkuu kampuni iliyumba kweli😁
#$&(()!?F%#&+ Y*$,
Namuhuria boscojirani anguNiliwahi kuzichanga huko nyuma, nikafungua grocery! Kwa kuwa nami nilikuwa mwanachama, mwanzoni nilikuwa na wateja wazuri na waaminifu. Baada ya muda mikopo ikaanza. Mteja akikopa na deni likiwa kubwa, anahama kijiwe.
Nakumbuka mara ya mwisho nilifungia crate tupu kwani hata chupa walishakopa zikiwa na pombe ndani. My Take: Biashara ya pombe kama na wewe mmiliki ni mnywaji, usinywee pale, ni hatari kwa usalama wa grocery yako.
Wazee wa kinyantiraNamuhuria boscojirani angu
Apa umetupiga kinyantira ndio kinini😂😂Wazee wa kinyantira
Mulemule.😂😂😂😂😂Namaliza chuo tu napta kazi. Inalipa mbaya nakodisha apartment. Nikifunga hesabu ya mwezi haina kwere nawatafuta washkaji tunasherehekea. Madem hawakauki kwangu full kujiachia ndani ya self contained. Luxury life. Sina saving. Siku nivofanyiwa auditing nakubaini madudu kazi ikaisha.
Nilipagawa nikarudi kwa baba na mama. Nikapatwa na maradhi ya watu wazima mapresha wakati niko kijana mbichii. Washkaji walinitenga. Mpaka leo sijapata kazi ya mana nahangaika kwa wahindi kazi mlima mshahara kichuguu. Nawazaga Sana'a.
Ha ha ha..umenikumbusha nilikuaga sinywi pombe yoyote ambayo ni local manufactured, ila saivi napiga konyagi vizuri tu.huu uzi unanihusu sanaa nilikuaga mzee wa Heineken, Budveiser sahiv napiga BALIMI si kitoto..
Sawa DoreenWenye hela sasa msisahau kuishi mpaka pesa zikaishia
Nyumba yako inatakiwa izungumze kabla yako
karibuni dollrubii_decors
SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.
KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
KARIBUNI SANA. FREE DELIVERY DAR
INSTAGRAM @dollrubii_decors
Pia Young Dee alikuwa kweny Game la mziki enzi hizo ?? Si yound Dee wa juzi juzi. Mkuu acha kutunywesha chai ya saa tisa alasiri2000's bajaji zilikuwepo? Nyandu tozi?? Hii chai ina tangawizi nyingi
Nadhani huyu mzee ni fundisho kwa wengi