Takriban miaka 62 sasa maadui wa taifa hawapungui ila wanaongezeka

Librarian 105

JF-Expert Member
May 6, 2023
243
326
Baada ya uhuru tulianza na ujinga, maradhi na umasikini. Hadi sasa hakuna aliyepunguzwa walau makali...
Sasa hivi wanaendelea kuongezeka. Kuna ufisadi, rushwa, uchawa, watu wasiojulikana, ukanda na mitandao ya kisiasa ndani ya vyama vya siasa, huenda orodha inaendelea

Tatizo liko wapi watanzania wenzangu na nini tufanye katika hivi vita?
 
Back
Top Bottom