DOKEZO Serikali ifuatilieni hali ya ukuta wa kiwanda cha SIMTANK cha Tabata TIOT

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

MubengaJr

Member
Oct 14, 2022
91
193
Naomba kuwapa taarifa kuwa kuna ukuta wa kiwanda cha SIMTANK kilichopo maeneo ya Tabata TIOT kinachopakana na Asas.

Ukuta huu huenda ukaanguka muda wowote hivyo msisubiri ukuta huu ulete maafa ndio muanze kumtafuta mchawi.
 
Back
Top Bottom