Nisaidieni Desktop yangu ina tatizo

Dec 31, 2018
95
53
Wakuu naombeni msaada wa kiufundi au hata ushauri
Desktop yangu ana ya dell haisupport usb yoyote hivyo haikubali mouse wa keyboard sijajua nafanyaje maana nilipeleka kwa fundi kuwekea Ram sasa sijui km imeaharibiwa huko ama lah lakini naombeni msaada kuna uwezekano wa kurejea kama kawaida na kwa njia gani?
Nawasilisha......
 
Unadriver pack solution yoyote?kama huna tumia modem uunge internet kisha Google online driver pack solution then utainstall driver zote
Wakuu naombeni msaada wa kiufundi au hata ushauri
Desktop yangu ana ya dell haisupport usb yoyote hivyo haikubali mouse wa keyboard sijajua nafanyaje maana nilipeleka kwa fundi kuwekea Ram sasa sijui km imeaharibiwa huko ama lah lakini naombeni msaada kuna uwezekano wa kurejea kama kawaida na kwa njia gani?
Nawasilisha......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kutoa CMOS Battery then washa, ikizingua Tafuta PCI card ya USB Ports hii nahisi itakuwa na microcontroller yakehivyo zitafanya kazi kama ya Motherboard itakuwa imeleta shida,
1547016102365.png
 
View attachment 989715
Asante mkuu naweza kuupata wapi na gharama zake km unaweza kunisaidia maana kuna mtu aliniambia ninunue motherboard no any means but naona umenipa jibu la kitaalam zaid
 
we upo mkoa gani? kama ukikosa hiyo tafuta motherboard bila processor na ram kupunguza gharama
 
Wakuu naombeni msaada wa kiufundi au hata ushauri
Desktop yangu ana ya dell haisupport usb yoyote hivyo haikubali mouse wa keyboard sijajua nafanyaje maana nilipeleka kwa fundi kuwekea Ram sasa sijui km imeaharibiwa huko ama lah lakini naombeni msaada kuna uwezekano wa kurejea kama kawaida na kwa njia gani?
Nawasilisha......
Jaribu kupiga windows chini then leta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naombeni msaada wa kiufundi au hata ushauri
Desktop yangu ana ya dell haisupport usb yoyote hivyo haikubali mouse wa keyboard sijajua nafanyaje maana nilipeleka kwa fundi kuwekea Ram sasa sijui km imeaharibiwa huko ama lah lakini naombeni msaada kuna uwezekano wa kurejea kama kawaida na kwa njia gani?
Nawasilisha......
Polee mkuu,usiingie gharama kubwa za kubadilisha motherboard, issue inaweza kuwa kwenye software......kama computer yako ina cd/dvd rom jaribu kubadilisha hiyo operating system (Windows Os) kwa kuinstall freshy copy ya hiyo Os,pili unaweza kucheck kama usb driver zimekosekana kwa kufanya yafuatayo,

Right click my computer icon, then Click Manage tab,then Click device manager>>>>Then Click alama ya kujumlisha kwenye USB Devices ukiona kuna alama ya njano basi ujue tatizo liko hapo unatakiwa utafute Driver pack uinstall hizo missing driver,na kwa vile usb ndizo ambazo hazifanyi kazi itakupasa driver software uinstall kupitia cd/dvd au kama pc yako ina wireless unaweza download moja kwa moja kutoka katika internet.
 
Right click atafanyaje wakati ,mouse na keyboard hazifanyi kazi? Ajaribu kupiga chini window

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu asante ila naomba kujua unaweza kupiga window bila mouse wala keyboard maana mlango wa dvd upo ila ishu ndo hizo port maana inawaka halafu inafika sehemu inayokutaka ubonyeze F2 na mchezo ndo unaishiaga hapo
 
Back
Top Bottom