Nimeupenda msimamo wa Slovakia juu ya mzozo wa Ukraini

Apr 25, 2024
37
139
Ama kwa Hakika huyu Waziri Mkuu wa Slovakia anahitaji kupongezwa.

Kwa niaba ya wapenda amani duniani tunakupongeza mno Mr. Robert Fico kwa kukataa maombi ya kifedhuli ya Zelensky na viongozi wa mataifa wanachama wa NATO, ya kutaka Slovakia kujiunga na NATO.

Vile vile tunakupongeza kwa kutokubali nchi yako kugeuzwa kuwa magofu kama Ukraini kwa kukataa kuwakaribisha wanajeshi wa NATO ambao kwa siri siri wameshaanza kuingia Ukraini kwa wingi.

Hakika umeshtukia mtego mkubwa maana huyu former KGB agent, Mr. Putin not bluffing at all.

Sasa tunashuhudia na kusikia kauli za kiongozi mmoja mjinga mjinga wa ufaransa ambaye ni mfupi wa kimo lakini pia hata huenda akili zake nazo ni fupi vile vile ambaye anataka kuiponza Ulaya nzima kwa kuyatumbukiza mataifa hayo katika vita na ulimwengu kwa ujumla katika vita ya tatu ya dunia kwa kutaka NATO kupeleke wanajeshi wake Ukraini.

Huu ni uwendawazimu wa kiwango cha juu kabisa.

Hapa namnukuu Waziri Fico

“I cannot help but respond very clearly to the statement of French President Macron, who confirmed that he does not rule out the deployment of NATO ground forces in Ukraine if the front line between Ukraine and Russia is broken.”

“Even if we receive a thousand requests from Ukraine, this state is not a member of NATO....And I am sending a very clear signal to all of Slovakia: no matter what we are asked for, a Slovak soldier will not set foot across the Slovak-Ukrainian border. I repeat once again: it will not cross.”
“We will not contribute to this military madness because we know very well what the current situation is in Ukraine.”

“I consider these statements [by Macron] to be statements that may just be a step towards a third world war.”

Mwisho wa kunukuu.
 
World War III should be prevented by any means necessary.
And this can be done by ceasing NATO expansion toward east; Allow Russia and Ukraine to pursue peace talks without external interference; Hold Zelenskyy accountable through a tribunal
IMG_20240507_183807.jpg
 
World War III should be prevented by any means necessary.
And this can be done by ceasing NATO expansion toward east; Allow Russia and Ukraine to pursue peace talks without external interference; Hold Zelenskyy accountable through a tribunalView attachment 2983554
Hold Zelenskyy accountable through a tribunal....inawezekana umeinukuu vibaya au!! Yaani uvamiwe na jirani anaekuchagulia rafiki lakini bado upelekwe mahakamani?
 
Huyo jamaa ni zero brain ........au manyau nyau kabisaaaaaaa..........unataka kumpangia mtu ambaye umemvamia kisa ubabe wako wa kijinga
Hyo ndio formula ya mapigano usisubiri adui akushambulie ukiona adui anajipanga kukudhulu muwahi kabla hajakuvamia NATO na mashoga zake hawana nia njema na Russia ndio maana kila siku anatafuta kambi karibu naye kumdhohofisha safari kimewalamba manina wanakazi ya kufanya vikao kama chadema
 
Huyo jamaa ni zero brain ........au manyau nyau kabisaaaaaaa..........unataka kumpangia mtu ambaye umemvamia kisa ubabe wako wa kijinga
amevamiwa kwa sababu walikuwa wanamkaribisha shetani NATO karibu na Rusia na alishawaonya toka 2009 kuwa mbona wanavunja mikataba waliyojiwekea wakamchukulia poa ndo anawakumbusha kuwa na yeye ana vyanzo vingi vya upepelezi ulioweza kunusa mipango yao
 
Vita ya 3 haiwezi kuanzishwa na Rusia vs USA. Vita ya 3 chokochoko zitaanzia middle East. Kwa hali jinsi ilivyo Ukraine akipoteza vita NATO itasambaratika, nchi nyingi zitaonekana haziko salama kuendelea kujiunga na NATO, Rusia bila nyuklia France anamtwanga vizuri, pia akipiga hizo nyuklia na yeye watamtwanga na nyuklia.
 
Duh! Hii mpya ufaransa pekee yake asimame mbele ya Russia?
Hii kauli akiisikia Adolf Hitler na Napoleon Bonaparte wanaweza kukuchemsha supu
 
Ama kwa Hakika huyu Waziri mkuu wa Slovakia anahitaji kupongezwa.

Kwa niaba ya wapenda amani duniani tunakupongeza mno Mr. Robert Fico kwa kukataa maombi ya kifedhuli ya Zelensky na viongozi wa mataifa wanachama wa NATO, ya kutaka Slovakia kujiunga na NATO.

Vile vile tunakupongeza kwa kutokubali nchi yako kugeuzwa kuwa magofu kama Ukraini kwa kukataa kuwakaribisha wanajeshi wa NATO ambao kwa siri siri wameshaanza kuingia Ukraini kwa wingi.

Hakika umeshtukia mtego mkubwa maana huyu former KGB agent, Mr. Putin not bluffing at all.

Sasa tunashuhudia na kusikia kauli za kiongozi mmoja mjinga mjinga wa ufaransa ambaye ni mfupi wa kimo lakini pia hata huenda akili zake nazo ni fupi vile vile ambaye anataka kuiponza Ulaya nzima kwa kuyatumbukiza mataifa hayo katika vita na ulimwengu kwa ujumla katika vita ya tatu ya dunia kwa kutaka NATO kupeleke wanajeshi wake Ukraini.

Huu ni uwendawazimu wa kiwango cha juu kabisa.

Hapa namnukuu Waziri Fico

“I cannot help but respond very clearly to the statement of French President Macron, who confirmed that he does not rule out the deployment of NATO ground forces in Ukraine if the front line between Ukraine and Russia is broken.”

“Even if we receive a thousand requests from Ukraine, this state is not a member of NATO....And I am sending a very clear signal to all of Slovakia: no matter what we are asked for, a Slovak soldier will not set foot across the Slovak-Ukrainian border. I repeat once again: it will not cross.”
“We will not contribute to this military madness because we know very well what the current situation is in Ukraine.”

“I consider these statements [by Macron] to be statements that may just be a step towards a third world war.”

Mwisho wa kunukuu.
Putin haitokuwepo ila Urusi watapita kipindi kigumu sana kiasi Dunia itawalilia 🤔
 
Tulia wewe mpumbavu mmoja usiyejua lolote kwenye siasa za kimataifa, mikataba mbalimbali ya kimataifa na historia ya tulikotoka na tuendako
Jengo hoja mkuu usiendeshwe na ushabiki uchwara, lete hiyo mikataba ya kimataifa inayokufanya ujione wewe ni mwerevu ili mimi mpumbavu niione.
 
Hayo mataifa ya Nato yanayopinga majeshi kuingia Ukraine hayana nguvu zozote za kijeshi na ndiyo yale mataifa ambayo yako Nato ili kula mbeleko ya mataifa yenye nguvu kijeshi kama Uingereza na Ufaransa.

Kimsingi mataifa ya Nato yenye nguvu za kijeshi ni tatu tu Marekani, Uingereza na Ufaransa na hao ndio mafarasi watatu wenye nguvu katika Nato hao wengine ni punda tu.

Hapo Russia akipewa moja kati ya Uingereza au Ufaransa ni ndani ya mwezi mmoja tu Russia kwishnei, yeye Russia ngoja afanye tu kuchezacheza na Ukraine lakini mkakati tayari umeshaandaliwa mwaka huu wanamng'oa Ukraine kwa kipigo ambacho hatakaa akisahau daima halafu mwakani ni zamu ya magaidi na makafiri wa Iran.
 
ujerumani unawachukulia mapimbi sindio?
 
Fra
Vita ya 3 haiwezi kuanzishwa na Rusia vs USA. Vita ya 3 chokochoko zitaanzia middle East. Kwa hali jinsi ilivyo Ukraine akipoteza vita NATO itasambaratika, nchi nyingi zitaonekana haziko salama kuendelea kujiunga na NATO, Rusia bila nyuklia France anamtwanga vizuri, pia akipiga hizo nyuklia na yeye watamtwanga na nyuklia.

France sidhan kama itawezana na Russia kijeshi ,ikiwa pekeake.
 
Hivi watu wanataka Nato ingie vitani mara ngapi? Tangia mwenzi wa pili mwaka jana Nato iko vitani na Russia imeshindwa kuleta tofauti, Fr, Br, US hawana jipya kwenye hiyo vita walishindwa wangekua nalo wagelileta ili washinde vita, ..... US ina hamu ya kumshinda Russia hata kuliko Ukraini yenyewe.......Macron is just frustrated man all military potions have failed.
 
Vita ya 3 haiwezi kuanzishwa na Rusia vs USA. Vita ya 3 chokochoko zitaanzia middle East. Kwa hali jinsi ilivyo Ukraine akipoteza vita NATO itasambaratika, nchi nyingi zitaonekana haziko salama kuendelea kujiunga na NATO, Rusia bila nyuklia France anamtwanga vizuri, pia akipiga hizo nyuklia na yeye watamtwanga na nyuklia.
Ufaransa bado sana bora uk Kidogo kajizatiti kwenye manowari na ndege
 
Back
Top Bottom