Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,431
- 8,239
Usiku wa kuamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.
Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.
Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.