Nakerwa na tabia ya jirani yangu kuanika chupi hadharani

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,619
5,747
Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita. Hii tabia sipendezwi nayo, inatutia tu akshi asubuhii.

Kwani hizo chupi huwa anazichafua mara moja au akioga hafui akabadilisha ndio azirundike afue machupi zaidi ya 40 siku moja

Nyie wanawake wa mjini mnatutia vishawishi jamani. Kwanini akifua japo asianike faragha kama bafuni?
Ni hatari wadada wa Tabata. Nitahama Tabata mimi.
 
Chupi ni vazi, unataka ianikwe wapi? Ni muhimu sana chupi na nguo zote za ndani kuanikwa juani zikauke kwelikweli ili kuua bacteria na vimelea wengine.

Ushauri wangu: wakianika chupi zao hadharani na wewe weka boksa yako juu ya hizo chupi, utakuja kunishukuru.
 
Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita.
Hii tabia sipendezwi nayo inatutia tu akshi asubuhii
Kwani hizo chupi huwa anazichafua mara moja au akioga hafui akabadilisha ndo azirundike afue machupi zaidi ya 40 siku moja
Nyie wanawake wa mjini mnatutia vishawishi jamani
Kwanini akifua japo asianike faragha kama bafuni,
Ni hatari wadada wa Tabata
Nitahama Tabata mimi
mambo ya chumbani anaweka hadharani sio? :pedroP:
 
Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita.
Hii tabia sipendezwi nayo inatutia tu akshi asubuhii
Kwani hizo chupi huwa anazichafua mara moja au akioga hafui akabadilisha ndo azirundike afue machupi zaidi ya 40 siku moja
Nyie wanawake wa mjini mnatutia vishawishi jamani
Kwanini akifua japo asianike faragha kama bafuni,
Ni hatari wadada wa Tabata
Nitahama Tabata mimi
Kijana Oa upwiru utakuua
 
Chupi ni vazi, unataka ianikwe wapi? Ni muhimu sana chupi na nguo zote za ndani kuanikwa juani zikauke kwelikweli ili kuua bacteria na vimelea wengine.

Ushauri wangu: wakianika chupi zao hadharani na wewe weka boksa yako juu ya hizo chupi, utakuja kunishukuru.

Watoto wa single mother mnajulikana kwa tabia zenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom