Mwarabu ni Ruksa kuwa Muislam ila kuowa Dada zao ni Ugomvi mzito

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,232
11,463
Mwarabu kaja na majahazi hapa Kaleta Dini kwa Mwafrika kwao kuowa Dada zetu Africa ni Ruksa ila ukitaka vita nenda kaowe Dada zao wa kiarabu au ingia kwenye mahusiano na Binti wa kiarabu hata muwe Dini moja alafu ndugu zake wajue utaona hiyo shuhuli yake itakavyokuwa nzito

Kushika Dini Ruksa ila kuowa Dada zetu wa kiarabu ni haram sijui imekaaje hii
 
Kujazia tuu hata wao wakioa waafrika wanatengwa rejea mmiliki wa magari ya kwenda Lushoto wa muda kidogo ilimlazimu kuwajibu ndugu zake kwa kuandika zote zafanana kwenye magari yake baada ya kuwa na mke wakiafrika ndugu wakamtenga mpaka alipokubali kuoa mke wa pili waliomtaka wao na ndio magari yake akaandika zote zafanana lakini baadae akaondoa neno zote likabaki jina zafanana
 
Sio kweli mbona Mimi nimewahi kuoa mwanamke wa kiarabu tena kwao Oman anaitwa Intisar na nilimkuta Bikira akiwa na miaka 31 . I met her in 2020 and she wa born in 1989 but she looks like she was born in 2002.. Na kwenye familia yao hakuna alie nisumbua wala kuleta shida
Weka ushahidi hapa ww ni mwongo mwongo sana
 
Kujazia tuu hata wao wakioa waafrika wanatengwa rejea mmiliki wa magari ya kwenda Lushoto wa muda kidogo ilimlazimu kuwajibu ndugu zake kwa kuandika zote zafanana kwenye magari yake baada ya kuwa na mke wakiafrika ndugu wakamtenga mpaka alipokubali kuoa mke wa pili waliomtaka wao na ndio magari yake akaandika zote zafanana lakini baadae akaondoa neno zote likabaki jina zafanana
Du
 
Sio kweli mbona Mimi nimewahi kuoa mwanamke wa kiarabu tena kwao Oman anaitwa Intisar na nilimkuta Bikira akiwa na miaka 31 . I met her in 2020 and she wa born in 1989 but she looks like she was born in 2002.. Na kwenye familia yao hakuna alie nisumbua wala kuleta shida
Eti niliwahi kuoa.

Hahah
 
Acha kupotosha aisee
Vijana wengi wa kiswahili wanaoa watoto wa kiarabu
Nimealikwa sherehe 2 na kushuhudia kwa macho yangu mtoto baba mwarabu na mama mwarabu
Kama Umenyimwa ni wewe
Sifoki ila acha kupotosha
Na waoaji sio matajiri
 
Mwarabu kaja na majahazi hapa Kaleta Dini kwa Mwafrika kwao kuowa Dada zetu Africa ni Ruksa ila ukitaka vita nenda kaowe Dada zao wa kiarabu au ingia kwenye mahusiano na Binti wa kiarabu hata muwe Dini moja alafu ndugu zake wajue utaona hiyo shuhuli yake itakavyokuwa nzito

Kushika Dini Ruksa ila kuowa Dada zetu wa kiarabu ni haram sijui imekaaje hii
Ha ha ha
 
uko mkoa gani?
maana tupo nao tunaongea nao kisuma cha ndani ndani kabisa hapa.hayo umefikiria wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom