Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,831
4,586
Familia yaomba Serikali kuwasaidia kupata haki ya mtoto wao ambae wanadai amelawitiwa shuleni. Wazazi wadai Serikali ya Mtaa na kituo cha polisi hakiwapi ushirikiano.

Wakifafanua sakata hilo Wazazi wanadai kuwa walipata mashaka baada ya kuona mtoto wao wa miaka 6 anajinyea mara kwa mara na baadaye mwendo wa mtoto huyo ubadilika.

Aidha, wanasema walipomhoji mtoto huyo alidokeza kuwa Mwalimu Imma anampaga soda na Biskuti lakini mtoto hakuweza kueleza vitendo vya mwalimu huyo.

Baada ya kwenda Polisi na Hospitali alipopimwa ilibainika mtoto huyo ameharibiwa sehemu yake ya haja kubwa.

Wazazi wanaomba mamlaka husika kutoa msaada ili kupata haki kwa mtoto wao.

UPDATE
- Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amesema Watu 2 akiwemo Mwalimu Emmanuel Mbigili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kulawiti mtoto
 
Mhe. Waziri wetu mpendwa, mama yetu na dada yetu.
Njoo huku utusaidie Dkt. Gwajima D

Poleni sana ndugu zetu, tuna imani waziri wetu mpendwa akipata taarifa hii atalishughulikia swala hili kwa haraka iwezekanavyo. Kikubwa akihitaji ushirikiano muumpe ili ajue aanzie na afikie wapi.

Mtafute waziri DKT Dorothy Gwajima sasa hivi kupitia namba hizi 👉 0765345777
 
Familia yaomba Serikali kuwasaidia kupata haki ya mtoto wao ambae wanadai amelawitiwa shuleni. Wazazi wadai Serikali ya Mtaa na kituo cha polisi hakiwapi ushirikiano.

Wakifafanua sakata hilo Wazazi wanadai kuwa walipata mashaka baada ya kuona mtoto wao wa miaka 6 anajinyea mara kwa mara na baadaye mwendo wa mtoto huyo ubadilika.

Aidha, wanasema walipomhoji mtoto huyo alidokeza kuwa Mwalimu Imma anampaga soda na Biskuti lakini mtoto hakuweza kueleza vitendo vya mwalimu huyo.

Baada ya kwenda Polisi na Hospitali alipopimwa ilibainika mtoto huyo ameharibiwa sehemu yake ya haja kubwa.

Wazazi wanaomba mamlaka husika kutoa msaada ili kupata haki kwa mtoto wao.

Mleta mada tafadhali mtumie SMS waziri DKT Dorothy Gwajima kupitia namba hizi 👉 0765345777
 
Hili jambo lichunguzwe na haki itendeke pasipo kumuonea au kumpendelea mtu, ila nitoe mtazamo wangu kulingana hili suala lililojitokeza hapa.

Nahitaji kujua mwalimu Imma ana umri gani? Muonekano wake ukoje? Haiingiii akilini eti mtoto wa miaka 6 awe analawitiwa mara kwa mara, kisa anapewa biskuti na soda, afu dalili za kuonesha kaharibiwa kwa tupu ya nyuma ni kujinyea hovyo, ndipo wazazi kustukaa.

Hivi ulawiti ni rahisi kiasi hicho? Huyo mtoto km kweli alikua anaingiliwa hata angeweza kutembea? Huko nyuma kusingekua kunatoa damu? Huyo mwalimu hata angekua na kibamia, plus kutumia kilainishi tena hata iwe Durex huyo mtoto angepata madhara ya kuonekana wazi wazi,

Mtoto wa miaka 6 anaweza kuhimili mikiki ya mtu mzima ktk sex? Tena kupitia tupu ya nyuma?

Hapa kuna jambo, na wala haina kuficha, siku hizi kuna mtindo wa walimu wa kuzushiwa case za ubakaji, ulawiti na mimba kwa wanafunzi.

Hili jambo lichunguzwe kwa weledi ili kubaini na kupata ukweli halisi, na sio kutaka kuumiza na kuua future ya mtu kwa maslahi ya mtu au watu fulaniii.
 
Back
Top Bottom