Tetesi: Mkandarasi barabara ya Itoni- Lusitu (Njombe) adaiwa kuwa na mpango kutahatarisha mito na maisha ya wananchi

Munjombe

JF-Expert Member
Dec 10, 2018
1,952
2,657
Kwa habari nilizozipata nikuwa ili kupunguza ghrama za ujenzi mkandarasi anayejenga barabara ya ITONI- LUSITU kwenye eneo la Kitulila anafanya MPANGO wa Kuchepusha Barabara ambako ni karibu sana na vyanzo vya maji na kuacha barabara kuu ambayo Haina shina kwa kigezo cha kupunguza ghrama za ujenzi.

Kwa mujibu wa dodoso ni kuwa kwa kuchepusha Barabara mkandarasi ataserve kama bilioni mbili tu lakini mustakabari wa uimara wa barabara ukiswa shakani, huenda ikahatarisha mikondo ya maji na kuwepo uwezekano wa kukauka kwa mito kadhaa inayotegemewa na zaidi ya wananchi 600 kama hautakuwepo umakini kupitisha mpango huo.Hivyo NEMC nao wawe macho kwenye mpango huo.

Baadhi wa wadau wanaona ni jambo hatarishi na haujazingania maslahi ya Umma bali maslahi ya wachache akiwemo mkandarasi.

Ni vema serikali kama ya kupitisha hilo,ijiridhishe kuwa MPANGO hautakua na athari mazingira na kwa wananchi wanao tegemea mito hiyo kwa kwa maji na kilimo cha umwagiliaji.

Na kuwa kipande kinachoepuka kinaonekana kutofika hata kilometa moja ni vema serikali imlazimishe mkandarasi akabaki kwenye barabara kuu ili kutoleta sintofahamu hapo baadae.
 
Back
Top Bottom