Bayer Leverkusen heshima Yao Kwa kweli Yani nmechek gemu mpka nmekata tamaa lkn we hatariii Hawa jamaa Wana upepo na magoli ya dk za mwisho
 
EARLY TICKET. 20 CORNERS ODDS ON PARIPESA.

Booking Code: DEJNZ

Bet Here on PARIPESA 👇👇

PariPesa

PariPesa

Promo code use: TIPS2424

Register and Get Up To 130$ Bonus On First Deposit .
Screenshot_20240428-050545_1.jpg
 
Sio EPL tu mkuu. Mimi nadhani tangu makampuni ya kubeti yajikite kwenye udhamini wa timu, kuna uwezekano mkubwa wa match fixing. Hivi Le Have ni timu ya kuifunga PSG kama sio match fixing?
Hahhh Kwa jinsi nlivoichek gemu fighting spirit ya PSG na vile wachezaji wamepaniki kama mbappe mpka kapewa kadi analalama jinsi walivokua wanashambulia asee mpka wakapata ata Ile draw weeee hakuna Cha fixing . Hzo fixing labda vi ligi vya ajabu uko chini havijulkani
 
Oya wadau eee hii ni mipira jamani sio Kila saa muwe mna mawazo ya game fixing ni Kwa vile tunabeti tunajipangia matokeo yaweje ndomana ila uhalisia mnaujua ata timu ikiwa na asilimia 99 za kushinda gemu BDO inaweza ikakaziwa wakatoa sare au wakafungwa kabisa. Mfano mtu anayefatilia mpira afu habeti huwezi skia ata sku Moja akawa na mawazo hayo et mechi zinauzwa sijui zinapangwa matokeo
 
Hahhh Kwa jinsi nlivoichek gemu fighting spirit ya PSG na vile wachezaji wamepaniki kama mbappe mpka kapewa kadi analalama jinsi walivokua wanashambulia asee mpka wakapata ata Ile draw weeee hakuna Cha fixing . Hzo fixing labda vi ligi vya ajabu uko chini havijulkani
Match fixing inafanyika sana tu mkuu. Matukio ya wachezaji kuonyesha wako serious ni mbinu ya kuficha uovu unaofanyika kwenye mpira.
 
Sio EPL tu mkuu. Mimi nadhani tangu makampuni ya kubeti yajikite kwenye udhamini wa timu, kuna uwezekano mkubwa wa match fixing. Hivi Le Have ni timu ya kuifunga PSG kama sio match fixing?
Harafu kwenye No GG ameweka 1.40 harafu Yes GG ameweka 2.30 double chance ipo 1x 1.04 yani Punjab ni konyo🤣
 
Hujawahi kusikia huko Italy timu zimashushwa madraja kwa sababu ya match fixing au Serie A sio ligi kubwa mkuu?.
Anhaa kweli mechi fixing zipo ila mfano Leo spurs na arsenal imepangwa matokeo manake we hujui matokeo yaliyopangwa BDO una nafasi ya kubashiri matokeo mfano wamepanga watoke 0-0 afu we umeeka double ya çhance ya draw apo ushakula au wamepanga spurs ashinde mana weng wamefata arsenal ko we umeeka home/away inakua unyama mana uzuri hakuna bet yenye uhakika 100% mana ata ikiwa 90% BDO inaweza ika lost ko tuendelee kubahatisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom