NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,382
- 12,950
Simba sc ipo katika wakati mgumu sana inayochangiwa na presha ya mashabiki wanaopiga kelele kuwa timu yao inakiwango kibovu.
Ikumbukwe Simba SC imetolewa katika kombe la shirikisho linalozaminiwa na CRDB na kwenye ligi wanashika nafasi ya tatu kwa kuachwa point kadhaa na mtani wake Yanga SC.
Simba SC itaitumia michuano ya Muungano Cup ili kurudisha Imani kwa mashabiki wao kwa hiyo piga ua galagaza afe kipa au afe beki lazima simba sc wachukue Kombe la Muungano Cup
Tutegemee kuona makossa ya kibinadamu kwa refa na kadi za mchongo watakazopewa wachezaji wa azam pamoja na zawadi ya penati kwa Simba SC ili tu apate ushindi ma kurudisha Imani kwa mashabiki.
Maoni yangu; Marefa tunataka fair play na endapo mchezo utaegemea upande mmoja kama hesabu zilivyopigwa itakua ni kudidimiza ukuaji wa mpora wetu huu, mpira wa miguu ni mchezo wa wazi kabisa kama timu haitaki kusajili quality players hata ibebwe vip ni ngumu sana kudeliver mpira bora na kuwin trophies.