Marekani: Migomo kwa Palestina yasambaa kama moto wa nyika!

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,094
36,070
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika?!

IMG_20240428_063509.jpg

IMG_20240428_050347.jpg

IMG_20240428_042826.jpg

2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na kina Muroto?! Hawa ndugu si walikuwa wakimnyooshea kidole jiwe dhidi ya migomo na maandamano?! Kumbe na wao, ni wachumba tu?!

IMG_20240428_044604.jpg

3. Kulikoni leo Marekani kuyadurufu ya "vipigo vya mbwa koko ya kwetu na kina Muroto dhidi ya waandamanaji wasio na hatia wala shari walio kwenye kupaza sauti zao tu?!

IMG_20240428_033400.jpg

4. Yaani ghafla kwao kumegeuka, imekuwa kama kwetu?!

IMG_20240428_050002.jpg

5. Ama kwa hakika "Not Yet Uhuru" cha 1967 cha Mh. Jaramogi Oginga Odinga (RIP), ilikuwa inawahusu sana Marekani hii eo! Kwa hakika hatukuwa tumewahi kushuhudia au kudhani demokrasia duniani inaweza kutokea kuwa majaribuni kiwango hiki!

IMG_20240428_045558.jpg

6. Kama hii ni Marekani kwenye katika ubora wake, kwenye karne ya 21, si ndiyo maana Goba ndani ndani huko wanasema kwa kujiamini kabisa kuwa "demokrasia ni nyokooo?!"

IMG_20240428_065817.jpg

7. Kumbe basi kama leo ni hivi, kesho kutwa bi tozo akituzukia hakuna mgomo au maandamano hapa! Kumbe tutakimbilia wapi?

IMG_20240428_070446.jpg

8. Vipi kesho Ruto naye akisema migomo ukiwamo wa wauguzi, madaktari au wowote kuanzia kesho, vyote kwishney?! Tena ni kwa amri tu, ya bwana mdogo fulani Muroto uchwara Kisumu huko, ambaye hata ni Ngumbaru tu?! Kumbe wakina na wenzao MK254 Kenya pale, yakiwakuta tena 2028 wakadaie wapi Server kufunguliwa?!

IMG_20240428_070927.jpg

9. Kwamba, kumbe kuna makamanda uchwara wa pande zq huku kwetu, wakiwamo hawa wa aina za kina Moisemusajiografii, Yoda, denoo JG na wafia dini wenzao ati kuwa hapa ndiyo wapo kwenye kukenua, meneo yako nje; kwamba kama manyani tu, wanashangilia; kwamba miti inaungua?! Kumbe kesho yakiwakuta, wakimbilie wapi mbumbumbu wajuaji, wafia dini uchwara hao?!

IMG_20240428_070539.jpg

10. Kumbe hapo #9, miti itakapokuwa imekwisha, akatokea "ngawanga?" Kumbe kamanda wa ukweli, kisiki cha mpingo, jembe la kulimia, kamanda wa makamanda: "TAL" kesho yakimkuta: yeye au wao, wakiwamo wale uchwara kindaki ndaki; kumbe watakimbilia wapi, kumsagia nani, wapi kunguni?!
 
Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kujieleza kuliko Marekani na Ujerumani, hawa Marekani taifa la kipuuzi sana wanazitishia nchi nyingi mpaka kuzinyima misaada kupinga maandamano leo wo raia wao wanachezea virungu kuzidi hata kwetu😀. Mama Samia tunakupa miaka 10 ingine.
 
Tatizo Marekani iliwaachia muingie sana kule na kuzaliana, walipaswa kuzuia kama ilivyo Poland ambapo wanaishi kwa amani.
Niliona mnadiriki kubwatuka yale madude yenu "death to America" Mkiwa ndani ya Marekani yenyewe.
Wazungu wana demokrasia ya kijinga sana, mthubutu kuyafanya China.
 
Demokrasia gaidi haelewi dawa ni vipigo tu.
Hawa wote ni Mgaidi.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
American universities and colleges involved in pro-Palestinian protests:

— Yale University
— University of Texas
— Columbia University
— Massachusetts Institute of Technology
—University of Minnesota
— University of California, Berkeley
— University of Pittsburgh
— University of Rochester in New York
— Tufts University
— University of Michigan
— University of Maryland
— University of Southern California
— Ohio State University
— Emerson College in Massachusetts
— Swarthmore College in Pennsylvania
— California Polytechnic University, Humboldt.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Nimecheka sana Muisrael mweusi wa Charabe anakuambia Wamarekani wanaondamana ni magaidi wapigwe tu😀
 
Tatizo Marekani iliwaachia muingie sana kule na kuzaliana, walipaswa kuzuia kama ilivyo Poland ambapo wanaishi kwa amani.
Niliona mnadiriki kubwatuka yale madude yenu "death to America" Mkiwa ndani ya Marekani yenyewe.
Wazungu wana demokrasia ya kijinga sana, mthubutu kuyafanya China.
Uharo mtupu.

Wanaofanya maandamano ni Wamarekani wenyewe huko Ujerumani na Ufaransa, Uingereza ni raia wao.

View: https://x.com/sprinterfactory/status/1783374926293905769?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Uharo mtupu.

Wanaofanya maandamano ni Wamarekani wenyewe huko Ujerumani na Ufaransa, Uingereza ni raia wao.

View: https://x.com/sprinterfactory/status/1783374926293905769?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wangeandamana kukemea ya tarehe 07/10/2024 ningewaona wa maana sana.Lakini siku hiyo waliuacha ulimwengu wa Kiarabu ukiimba Takbiiiiiiiiir.Wacha wapalestina waendelee kula kichapo tu.
Kinachonishangaza ni mbona vyuo vikuu vya ulimwengu wa Kiislam hawaandamani?wao hawataki hakhi?
 
Hahahaha😁
Daaah wewe ni mjinga wa kiwango cha mwisho yaani upo Makete unawapangania Wamarekani cha kufanya eti tungewaona wa maana wewe na nani mgewaona wa maana? Endelea kujitibu UTI sugu.

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1784425736243134468?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Israeli haiwezi iachia Rafah bila kuishambulia. Hao waandamanaji wenyewe wengi wao ni wanafunzi wa Kiarabu wanaosoma marekani. Usalama wa Israeli unawahusu Waisraeli wenyewe 🤔
Uharo mtupu hahaha wadanganye wakolole wenzako .

Hapa Canada.

View: https://x.com/sahouraxo/status/1784312437954461970?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hawa ni Waarabu?

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1784326402638299456?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hawa nayo waarabu.

View: https://x.com/claredalymep/status/1784301253033427250?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hawa waraabu?

View: https://x.com/umyaznemo/status/1784247098663108701?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Israeli haiwezi iachia Rafah bila kuishambulia. Hao waandamanaji wenyewe wengi wao ni wanafunzi wa Kiarabu wanaosoma marekani. Usalama wa Israeli unawahusu Waisraeli wenyewe 🤔
Huna unachojua, ni maandamano ya wamarekani Marekani ni taifa la wahamiaji Kwa hiyo ni watu mchanganyiko , Mkimbizi hana nafasi ya kuandamana
 
Hahahaha😁
Daaah wewe ni mjinga wa kiwango cha mwisho yaani upo Makete unawapangania Wamarekani cha kufanya eti tungewaona wa maana wewe na nani mgewaona wa maana? Endelea kujitibu UTI sugu.

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1784425736243134468?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kwa nini utukane?
Hao waandamanaji mbona hawakuqndamana 07/10 kupinga yale mauaji ya watu wasiokuwa na hatia?
Mbona vyuo vikuu vya ulimwengu wa kiarabu hawaandamani?
Ni hayo tuu Maalim
 
Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kujieleza kuliko Marekani na Ujerumani, hawa Marekani taifa la kipuuzi sana wanazitishia nchi nyingi mpaka kuzinyima misaada kupinga maandamano leo wo raia wao wanachezea virungu kuzidi hata kwetu😀. Mama Samia tunakupa miaka 10 ingine.
Kabisa mkuu
 
Kwa nini utukane?
Hao waandamanaji mbona hawakuqndamana 07/10 kupinga yale mauaji ya watu wasiokuwa na hatia?
Mbona vyuo vikuu vya ulimwengu wa kiarabu hawaandamani?
Ni hayo tuu Maalim
Tusi liko wapi? Wewe hauna unachojua ndiyo maana nakuita punguani Palestina wameenza kuuliwa toka mwaka 1947 watu wanakuona mjinga wa kiwango cha mwisho unadhani vita vimeanza Oct 7 hata ufahamu kwa nini wanaandamana, labda nikusaidie wanapinga serikali zao kishirikiana na Israel kuwapa silaha na pesa wanafanya mauaji ya kimbari kuuwa watoto na raia wasiokuwa na hatia, unataka Waraabu waandamane kwa niini viongozi wao wanapawa silaha na pesa Israeli? Haujaona maandamano Jordan, Misri, Moroco?
 
Back
Top Bottom