Majiko ya kisasa yanayotumia oil chafu

jona123

New Member
May 8, 2024
4
4
MREI Company Limited ni watengenezaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia inayotumia Oil chafu, lakini pia wanahitaji support kutoka kwa wadau na serikali ili kuweze kuiendeleza technologia hii ili iweze kua na matokeo chanya katika uchumi wa Taifa, utunzaji wa mazingira, uondoaji wa carbondioxide na utoaji wa ajira kwa vijana.

Changamoto tuliyonayo ni kufikiwa na viongozi wa serikali kwa ajili ya ushauri wa kitaalamu wa namna ya kuiboresha hii tekinolojia ili kuunga mkono mkakati wa serikali ya wamu ya sita katika matumizi ya nishati safi ya kupikia. 0766-521-373

IMG-20240508-WA0084.jpg
IMG-20240508-WA0083.jpg
 
Mie nadhani ungeweka ka video kafupi ukielezea na kutuonesha jinsi linavyofanya kazi itakua poa sana. Dunia ya technology Huna haja ya kuisubiri serikali ikusaidie wakati mtandaoni wateja wamejaa kibao, ni jinsi tu ya kuiweka biashara yako
 
Maelezo yako hayajitoshelezi ndugu, sio rahisi kiongozi wa serikali achukue namba yako akupigie!
Bora ungedili na sisi kwq utupa maelezo kamili, wapi unapatikana, ni jinsi gani itakuwa rahisi kutumia jiko lako hilo dhidi ya jiko la gesi mkaa na kuni.
 
Baada ya kuelezea jiko lako linavyofanya kazi,wewe unataka serikali ikusaidie.Elezea biashara yako kwa ufasaha,kama biashara yako nzuri utasapotiwa na ndiyo utaongeza mtaji wako.
 
Majiko haya ni ya kimkakati katika kuhakikisha tanzania inakua ya kijan,ni majiko ya nishat safi ya kupikia yanayotumia oil chafu kama nishati safi ya kupikia,tunatoa huduma za kila aina mashulen,hoteln na majumbani pia.0766-52-1373
 
Attachments

  • VID-20240509-WA0012.mp4
    28.6 MB
  • VID-20240331-WA0020.mp4
    3.6 MB
  • VID_20240302_190107.mp4
    67.8 MB
Majiko haya ni ya kimkakati katika kuhakikisha tanzania inakua ya kijan,ni majiko ya nishat safi ya kupikia yanayotumia oil chafu kama nishati safi ya kupikia,tunatoa huduma za kila aina mashulen,hoteln na majumbani pia.0766-52-1373
sambaza mikoani. Uko wapi?
 
Majiko haya ni ya kimkakati katika kuhakikisha tanzania inakua ya kijan,ni majiko ya nishat safi ya kupikia yanayotumia oil chafu kama nishati safi ya kupikia,tunatoa huduma za kila aina mashulen,hoteln na majumbani pia.0766-52-1373
Bei..?
 
Tupeni anuani
 
MREI Company Limited ni watengenezaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia inayotumia Oil chafu, lakini pia wanahitaji support kutoka kwa wadau na serikali ili kuweze kuiendeleza technologia hii ili iweze kua na matokeo chanya katika uchumi wa Taifa, utunzaji wa mazingira, uondoaji wa carbondioxide na utoaji wa ajira kwa vijana.

Changamoto tuliyonayo ni kufikiwa na viongozi wa serikali kwa ajili ya ushauri wa kitaalamu wa namna ya kuiboresha hii tekinolojia ili kuunga mkono mkakati wa serikali ya wamu ya sita katika matumizi ya nishati safi ya kupikia. 0766-521-373

Ungeweka picha likiwa linawaka
 
Back
Top Bottom