Kwanini CHADEMA waliounga juhudi wanamkubali Tundu Lissu ila wale COVID 19 wanamkubali Mwenyekiti Mbowe?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,071
143,885
Unaweza kufanya utafiti mdogo wewe mwenyewe na utagundua kundi la Viongozi wa Chadema waliounga Juhudi na wale walioenda NCCR mageuzi, CUF na ACT Wazalendo wote wanamkubali sana Tundu Antipas Lisu Katika Uongozi wa Chama Kikuu Cha Upimzani

Lakini Wabunge wa Chadema walioapishiwa Nje ya Ukumbi wa Bunge wanamkubali na kumuunga mkono mwenyekiti Mbowe

Hata Dr Slaa na BAK wako upande wa Tundu Lisu

Naendelea kutafiti zaidi...

Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hizi thread mnazoandika andika kuhusu Lisu, ndio zinazompa kiburi zaidi Lisu na kumnyika usingizi Mbowe.

It looks like Lisu anakaribia kutemesha bungo mwenyekiti katika uchaguzi mkuu wa chama mwezi wa 10. Hivyo ameanza na mikwara ya pesa za mama Abdul ili kumjambisha mwenyekiti wake asitumie ujanja wake wa kuonga wasimamizi wa uchaguzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unaweza kufanya utafiti mdogo wewe mwenyewe na utagundua kundi la Viongozi wa Chadema waliounga Juhudi na wale walioenda NCCR mageuzi, CUF na ACT Wazalendo wote wanamkubali sana Tundu Antipas Lisu Katika Uongozi wa Chama Kikuu Cha Upimzani

Lakini Wabunge wa Chadema walioapishiwa Nje ya Ukumbi wa Bunge wanamkubali na kumuunga mkono mwenyekiti Mbowe

Hata Dr Slaa na BAK wako upande wa Tundu Lisu

Naendelea kutafiti zaidi...

Mlale Unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
wamebaini na wamejirithisha kua huyo mjamaa ni foreign Puppet na ndio maana familia yake ameitorosha ng'ambo mapema sanaaaa, na huyu muungwana mwamba wa kaskazini ni real Patriot, na anakubalika na kuaminika zaid ya huyo mropokaji kibaraka wa mabwenyenye alie tekwa fikra kwa fedha na mali kuvuruga chama chake na kutikisa umoja wa waTz ๐Ÿ’
 
Wewe tayari umeonesha ni team Mbowe au ni CCM. HIZI NI KAULI ZA CCM
 
Je.
1. Sami ni mzanzibar au si mzanzibar?
2. Hajawaondoa Wamasai (Watanganyika) Loliondo au amewaondoa?
3. Je hajauza bandari za Bara tu kwa wajomba zake au ameuza?
majibu yote yako kwenye kitabu cha hotuba ya wizara inayoshughulika na masuala ya Muungano ๐Ÿ’

acha uvivu na kua drived na external forces kupitia puppet ๐Ÿ’

uskubali kua mercenary ni uraibu na utumwa mbaya sana ๐Ÿ’
 
Halafu ndo maana huwezi mwelewa Lissu kama kuna kiingereza kinasema drived sijui ni cha wapi. Kisha unaniambia mimi mvivu huku wewe ambaye ni mchapa kazi huna hoja unataka nikasome walichokujibia wenzio. Hebu jibu wewe kama wewe. Lissu amedanganya nini katika hoja zake.
 
ukikwama katika harakati zako hata usingizie nini, there is nothing you can do to devide the country, there is no room to do that, there is no escape root, no place to hide for the benefits of your calonial masters ๐Ÿ’

alalamike awezavyo but hakuna litakalozuia nchi kusonga mbele na hakuna haja ya kupoteza muda nae. ๐Ÿ’

political statements and allegations ni mambo ya kawaida tu ๐Ÿ’
 
unamuelewaje kibaraka ๐Ÿคฃ

akati unajua kabisaa hiyo ni tied mind na mabwenyenye? halafu unababaika nayo tena. None sense ๐Ÿ’
 
Devide ni nini in english?
Calonial ni nini?
Ndo maana huwezi mwelewa Lissu

View: https://twitter.com/MariaSTsehai/status/1788199761830396048?t=B50iq9IIcxnMiFy_I-Bwrg&s=19
 
unamuelewaje kibaraka ๐Ÿคฃ

akati unajua kabisaa hiyo ni tied mind na mabwenyenye? halafu unababaika nayo tena. None sense ๐Ÿ’
Andika kiswahili. You dont know english. Even your swahili also is broken. Jibu hoja za Lissu

Je.
1. SamiA ni mzanzibar au si mzanzibar?
2. Hajawaondoa Wamasai (Watanganyika) Loliondo au amewaondoa?
3. Je hajauza bandari za Bara tu kwa wajomba zake au ameuza?
 
Andika kiswahili. You dont know english. Even your swahili also is broken. Jibu hoja za Lissu

Je.
1. SamiA ni mzanzibar au si mzanzibar?
2. Hajawaondoa Wamasai (Watanganyika) Loliondo au amewaondoa?
3. Je hajauza bandari za Bara tu kwa wajomba zake au ameuza?
nimekushauri soma kitabu cha hotuba ya bajeti ya wizara inayohusu masuala ya Muungano, acha uvivu ๐Ÿ’

zaidi sana na ile muhimu zaidi, kibaraka na mamluki wake kamwe hawana la kufanya na wala hakuna mahali wanaweza enda zaidi ya huko kwa ma colonial masters zao ๐Ÿ’
 
nimekushauri soma kitabu cha hotuba ya bajeti ya wizara inayohusu masuala ya Muungano, acha uvivu ๐Ÿ’

zaidi sana na ile muhimu zaidi, kibaraka na mamluki wake kamwe hawana la kufanya na wala hakuna mahali wanaweza enda zaidi ya huko kwa ma colonial masters zao ๐Ÿ’
Je.
1. Sami ni mzanzibar au si mzanzibar?
2. Hajawaondoa Wamasai (Watanganyika) Loliondo au amewaondoa?
3. Je hajauza bandari za Bara tu kwa wajomba zake au ameuza?
 
Lakini Wabunge wa Chadema walioapishiwa Nje ya Ukumbi wa Bunge wanamkubali na kumuunga mkono mwenyekiti Mbowe
Wewe mchokonozi sasa. Sikumbuki kama ni wewe ulikuwa mwanzilishi wa ile mada nyingine ikimhusu Halima na kundi lake (COVID-19) iliyopandishwa humu juzi tu. Sasa unaleta hili tena!.
Watu wataendelea kuunganisha taratibu 'dots', mpaka ziungane kwenye mnyororo.
 
Lissu moja kakohoa mara moja Sisiemu yote inahaha na wengine hata kuinua mdomo imekuwa shida

Akipiga makombora mengine mawili sijuwi itakuwaje..moja tu ni kubweka kila dk
CCM ndivyo walivyo hata Mbowe aliposemaga kuhsu Rais kutoka Zanzibar kuuza Bandari yetu akiwa Italy walimshambulia mno mpaka Bungeni mmesahau akina Nape wakati ule!
 
nimekushauri soma kitabu cha hotuba ya bajeti ya wizara inayohusu masuala ya Muungano, acha uvivu ๐Ÿ’

zaidi sana na ile muhimu zaidi, kibaraka na mamluki wake kamwe hawana la kufanya na wala hakuna mahali wanaweza enda zaidi ya huko kwa ma colonial masters zao ๐Ÿ’
Mara nyingine wewe hujitoa akili kwelikweli. Sasa hapa umeandika kitu gani kinachoweza kumwongezea msomaji jambo ambalo hakulijuwa kabla?
Unakuwa shabiki, hadi unaonekana kama mtoto mdogo?
 
Back
Top Bottom