Vita ya Lissu na Halima Mdee inaonyesha dhahiri kichwa cha Halima kiko CHADEMA ila tumbo ndio liko CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,073
143,889
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lissu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka tu.

Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe pale hotelini Nairobi kwamba omba msamaha, tema Ubunge then Makamanda wa Ufipa watakupokea

Kupigana Vita na Watu wa Nyumbani kwako huku umejificha kwa jirani ni hatari Sana kikafara 🐼

lissu.png

Baadae Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚
 
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lisu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka Tu

Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe pale hotelini Nairobi kwamba Omba msamaha, tema Ubunge then Makamanda wa Ufipa watakupokea

yule bishangazi ni malaya wa kisiasa
 
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lisu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka Tu

Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe pale hotelini Nairobi kwamba Omba msamaha, tema Ubunge then Makamanda wa Ufipa watakupokea

Kupigana Vita na Watu wa Nyumbani kwako huku umejificha kwa jirani ni hatari Sana kikafara

Baadae Mlale Unono
HALIMA yupo ccm chadema hatakiwi Msaliti wa kike
 
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lisu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka Tu

Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe pale hotelini Nairobi kwamba Omba msamaha, tema Ubunge then Makamanda wa Ufipa watakupokea

Kupigana Vita na Watu wa Nyumbani kwako huku umejificha kwa jirani ni hatari Sana kikafara 🐼

Baadae Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚
Bwashee acha kumvunjia heshima mbunge wetu mtarajiwa Halima Mdee kwa tiketi ya chama cha mapinduzi hapo mwakani πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimesoma mnyukano wa Halima Mdee na Tundu Lisu kama ilivyohabarishwa na Mwanahalisi Digital nimebaki nacheka Tu

Sasa wewe Halima Mdee kama kweli unaipenda Chadema ulishaambiwa na Freeman Mbowe pale hotelini Nairobi kwamba Omba msamaha, tema Ubunge then Makamanda wa Ufipa watakupokea

Kupigana Vita na Watu wa Nyumbani kwako huku umejificha kwa jirani ni hatari Sana kikafara 🐼

Baadae Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚
halima Mdee ni miongoni mwa wanawake ambao sio tu majasiri, ila pia ana akili kubwa, mustahimilivu makini mno na for sure, atafika mbali zaid kisiasa, endapo ataendelea kufanya siasa nje ya Chadema ambayo hivi sasa ni dhaifu sana na iliyogawanyika na kukosa uelekeo πŸ’

Namuona ni mwanasiasa nguli, na imara sana, mwenye ushawishi na namvuto mkubwa sana wa kisiasa, huenda zaid ya zito kabwe alieshindikana πŸ’
 
Lissu CCM mmemchukia sana. Ila hoja zake hamjibu kabisa.
acha upotoshaji πŸ’

ana hoja au malalamiko? πŸ’

by the way, nachelea kusisitiza kwamba kumjibu huyo puppet ni kuwajibu mabwenyenye something very wrong πŸ’

Jambo la maana zaid ni kumpuuza kama ilivyo sasa πŸ’
 
Je.
1. Sami ni mzanzibar au si mzanzibar?
2. Hajawaondoa Wamasai (Watanganyika) Loliondo au amewaondoa?
3. Je hajauza bandari za Bara tu kwa wajomba zake au ameuza?
 
acha upotoshaji πŸ’

ana hoja au malalamiko? πŸ’

by the way, nachelea kusisitiza kwamba kumjibu huyo puppet ni kuwajibu mabwenyenye something very wrong πŸ’

Jambo la maana zaid ni kumpuuza kama ilivyo sasa πŸ’

CCM MNAMCHUKIA LISSU SABABU HAJUI KUUMA UMA MANENO NA ANAONGEA KWA FACT. HAKUNA ALIYEJIBU HOJA ZAKE MPAKA SASA.
 
Back
Top Bottom