Kuna ugumu gani wa kuacha unywaji wa Pombe?

Analog

Senior Member
Apr 4, 2024
186
404
Hii kitu ina hasara nyingi tofauti na faida yake, hivi unawezaje kung'ang'ania biashara isiyokuwa na faida.?

Ndugu zangu sote tu mashuhuda pombe ina madhara makubwa hasa unapokuwa addicted.

Unapoteza utashi wa akili na inaleta madhara makubwa ndani ya kiungo cha mwili, hvi ata kuacha unywaji wa pombe inahitaji mahubiri....Acha ulevi ndugu yangu kwa ustawi wa afya ya mwili wako na kwa faida ya familia yako.

Muda huu wa weekend kubadilisha mabaa kwanin usiutumie pengine kutulia na familia yako ama kutoka out na familia, na hii bora zaid kuliko kwenda kesha mabaa.
 
Pepon kuna mito na maziwa ya pombe alafu kuna mabahamedi bikraa 72 kila mlevi anapewaaa .....lazima tupige tizi la kutosha hata sir God akikubizi pipa mbili za k vant unapiga chapu asije akakuona boyaaaa
 
Pombe sio tatizo Ila tatizo huwa ni picha iliyopo kichwani mwa mnywaji Wa pombe (Alcohol image)

Njia ya kuushinda huu uraibu huwa inafanywa na meditation maana meditation humfanya MTU apate Mindfulness na mindfulness husaidia kuoandoa picha ya pombe iliyopo kichwani mwa mnywaji au mlevi.

So hii VITA ni ngumu inahitaji muhusika kujitoa kikweli kweli.
 
Mkuu unavoona watu wanakunywa sana pombe hukuwaza kwamba ni mwisho wa dunia wew?
Unaambiwa karne za 17&18 wababu walikua wanapiga vyombo si tukasome.

images (16).jpeg
 
Back
Top Bottom