Dodovic Amosi
Member
- Feb 3, 2024
- 8
- 5
GOOD TIMES ARE NOT AROUND THE CORNER....
Be Prepared to live off your fat
A word is enough for the wise...
GOOD TIMES ARE NOT AROUND THE CORNER....
Be Prepared to live off your fat
A word is enough for the wise...
Haujui kitu wewe.Mkuu,
Kuna watu wanaitafuta sana nje hawaipati.
Ni wewe tu hujui wine halafu una tabia ya kudharau vitu vya nyumbani.
Na Watanzania wengi wako kama wewe.
Ndiyo maana hamu export.
Halafu uchumi unakuwa mbovu, mnakosa dollars.
Mnatafuta mchawi wenu nani.
Wewe hata Kiswahili tu hujui.Haujui kitu wewe.
Au ndio mmiliki wa kadoo?Mwigulu anasemaje?
Whites ndio nini?Wewe hata Kiswahili tu hujui.
Hujafika kiwango cha kuongea wine na mimi.
I drank Chilean whites, which are very close to Dodoma whites due to the soil.
Chilean whites are selling like hot cakes in the USA.
What do you know about that?
Some wines are acquired taste to some people, maybe you don't have the taste.
Ndiyo nyie mnakunywa bia halafu mnalalamika bia chungu.
White wines.Whites ndio nini?
anaupiga mwingi mpaka unamwagika
Dola kukosekana ni ishara ya nchi kukosa exports kwenye biashara ya kimataifa na sheria ngumu za kudhibiti dola.
Ukiwa na bidhaa za ku export na sheria nzuri, dola zipo nyingi tu soko la kimataifa zinatafuta bidhaa.
Watu wanatafuta jinsi ya kupata Konyagi na Dodoma wine, lakini hawazioni katika soko la kimataifa.
Kwa nini? Watanzania hawajajipanga katika exports.
Halafu wanalia dola hazipo.
Dola zitakuwapo vipi wakati kila kitu mna import, mpaka toothpicks?
Hamjui kuwa hivyo vitu mnavyo import ndiyo dola hizo mnatoa nje?
Dola itakuwapo vipi wakati exports ni ndogo sana?
Hujaeleza pumba tupu kwa nini. Point gani ni pumba, kwa nini, kisicho pumba ni nini.Pumba tupu