DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,722
- 47,513
Unapozungumzia Mbunge anabidi kuwa na sifa tofauti na hizi zilizopo za kujua kusoma na kuandika tu. Ubunge ni Kazi ya muhimu sana haiwezekani mtu mwenye Elimu ya kuunga unga apewe ubunge?
Vigezo viwe:
~ Mtu msomi aliye na Degree Safi kutoka katika chuo kizuri na sio lasaba au form four au Diploma sijui six na mambo kama hayo
Tangia tupate uhuru Tanzania hatujapata Bunge mathubuti la kukaa na kusikiliza hoja zilizo Shiba. Eti mtu la saba au diploma form four ya mchongo anataka ubunge? Hii haifai kabisa.