Wengi wanafata mapokeo ila hata biblia hawasomi maana hata Yesu alisema ufalme utahama mashariki ya kati (israel) na kwenda taifa litakalo mzalia Muumba matunda yake.

Mathayo 21:43
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.

Na imeshatokea sasa Tanzania ndilo taifa Baba na Chanzo cha Baraka kwa mataifa yote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom