View attachment 2972028View attachment 2972022
Serikali hili jambo imelifumbia macho halishughulikiwi kabisa Serikali ya CCM imelala usingizi mnono.............................
Toka enzi...hiyo ni njia ya maji...watu wameifuata wenyewe....pia bonde la mpunga msasani....pia jirani kwa warioba uelekeo kawe....baadhi ya maeneo mwananyamala watu wamejenga juu ya ziwa....jangwani wote mwapafahamu....baadhi ya maeneo ya tegeta uelekeo Kibo complex kwa mbele ule ni mto....maeneo ya vingunguti uelekeo TAZARA pia watu wamejenge juu ya mto....any way......
 
Jamaa kuku wote wamekufa na vifaa vimeharibika
Inaonekana alikuwa anauza sana ama alikuwa anawalea tu
Kuku 4000 wote
 
Kwamba CHADEMA ndio wanauwezo wa kukabuliana na Nature?

Hatahivyo wapo wanaohitajika kuwajibishwa.

Walakin,ni CCM?
Una mimba ya Chadema ?pitia huku lingusenguse nikupatie ulanzi ,hii sio rocket science,mafuriko ya bonde la mkwajuni limesababishwa na serikali ya ccm kuruhusu royal families kujenga kule mikokoni ni kuingilia uasili wa mkondo wa maji kwa mto wa msimbazi
 
Nilipita jana saa tano asubuhi na leo nimepita saa kumi jioni, itakuwa ni mvua ya jana mchana ilinyesha kubwa, lawama ziende kwa serikali kufumba macho watu wakijenga kwenye mkondo wa maji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom