Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,878
- 18,896
Nimeona post ya mwanasheria wa Yanga nae anashadadia eti Azam kuwa walichokifanya kwa Fei ndio wanachofanyiwa hivyo wajifunze
Sasa kwa Prince Dube Azam wamesema hela ya kuvunja mkataba wake ni milioni 765, Dube alipe hiyo hela aondoke, hawajamzuia kuondoka kwenda popote
Lakini kwa Feisal Salum , Feisal baada ya kuweka hela ya kuvunja mkataba, Yanga waligoma kumuachia, Azam wao hawajawekewa hiyi hela kama Yanga walivyowekewa wakagoma
Mbona hii ishu nyepesi sana?? Mlipieni huyo Dube hela, milion 800 mumchukue...