To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 28,715
- 66,995
🤣🤣🤣🤣Nikifa MkeWangu Asiolewe ukifa naoa mke wako
🤣🤣🤣🤣Nikifa MkeWangu Asiolewe ukifa naoa mke wako
Hahahahahaha kivipi mkuuduu mkuu bila shaka itakuwa umeshachungulia mashemeji zako
sawa mwenyekiti wa chama cha kusoma comments tzania (CHACHAKUCOTA)
Anza maombi na ubadilikeNaendesha gari speed kubwa sana hatakama hakuna ninako wahi, wameniambia masela niache kusoma inch zilizobaki mshale ulale nimeshindwa kuacha pia kuna mama mmoja na heshima zake usalama barabarani aliniambia ukiendelea hivi sijui kama barabarani utakaa nikacheka tuu na siku mjibu chochote , wakuu sijui huko tuendako itakuaje