Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,307
- 22,808
Wakuu
Hii team ya walevi na wanywa wanzuki yaani inatia huruma
Mitandaoni mashabiki hawana Furaha kabisa yaani kila post admin atakayotoa basi wanampopoa tu jamani ..!
Kilichobaki ni admin kuigeuza page imekuwa ya kuwish watu happy birthday tu ...
Yaani simba ya kumuwish Happy birthday yusuph mlipili?
Wakati walikuwa wanampiga benchi?
Kwa kweli tukiita team ya walevi na wahuni tutakosea?
Nawasihi azam muwaonee huruma hawa ndugu angalau muwaachie hilo kombe la muungano angalau wananyanyue kwapa nao maana hali yao inatia simanzi!