Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Hapa ndio utaelewa kwa nini siri nyingi zinamfikia Mange Kimambi Yani mtu kama huyu tusingepaswa tumuone tena sababu ni Jasusi na watu walishaanza kumtambua kitambo eti ooh na yy anatudanganya kwa Ayo Tv hakuamin kama mama na Ikulu wangempa mwaliko😂😂😂 waanike masiri yao tu tuwajue na watu wao na kuna wengine tunakunywaga nao bia huko wanavimba wametoka geti Jeusi Sasa Unyeti wa Idara Uko wapi?
 
Hapa ndio utaelewa kwa nini siri nyingi zinamfikia Mange Kimambi Yani mtu kama huyu tusingepaswa tumuone tena sababu ni Jasusi na watu walishaanza kumtambua kitambo eti ooh na yy anatudanganya kwa Ayo Tv hakuamin kama mama na Ikulu wangempa mwaliko😂😂😂 Pyeee waanike masiri yao tu tuwajue na watu wao na kuna wengine tunakunywaga nao bia huko wanavimba wametoka geti Jeusi Pyeeee! Sasa Unyeti wa Idara Uko wapi Pyeeeee in Kimambi Voice
We ni ME au KE?
 
Pyee ndiyo Nini? Be a man
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom