KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,597
- 3,860
Anaandika KENGE,
Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa movies hasa izi genre za Action,war based au millitary.Utakubaliana na kenge kwamba zinafanana sana content.Yani storyline inakua hivi...Unakuta U.S Army limeenda Afghanistan kupigana na Taliban.Kama sio Taliban basi ni nchi yoyote ya kiarabu Iraq,Iran au vikundi kama Al qaida na magaidi wa kiarabu.
Nimekua mfatiliaji mzuri sana wa movie lakini hii content sasa ni wazi sasa inachosha japo wao hawajui ilo wanachojua ni kwenda na trend kwahiyo kampuni linalodirect muvi izi ni ngumu sana kukwepa hii storyline ya waarabu.
Hata Millitary movie zilizopewa rate kubwa nyingi kama sio zote zinacontent moja tu mfano 13 hours,Secret soldiers of baghzaz hii yahusu kikosi maalumu kilichoenda Afghanistan kulinda governer wao.
Movie kama Lone Survivor nayo imechezea rate nyingi sana lakini content ni ileile Navy seal walienda kupigana na Taliban..12 Strong haichezi mbali.NATO walipelekwa Afghanistan kupambana na Taliban
Kama haitoshi American sniper nayo inachezea kwenye storyline ileile sema wao ni Iraq ila ni vita na waarabu.
Ni muvi chache sana zenye rate kubwa ambazo storyline haigusi waarabu.Muvi kama Patoon.Metal jacket,Fury,Dunkirt, na Saving private ryan ni movies nzuri sana za kivita zisizo usisha waarabu.
Kama iyo haitoshi.,Movies mpya zilizotoka hivi karibuni storyline ni ileile mfano THE COVENANT ni movie nzuri sana ila storyline ni ileile.Nyingine KANDAHAR hii ni CIA Gerald wa U.S alieweka kifaa cha udukuzi kwenye mitambo ya mawasiliano ya wataliban yani Storyline ni ileile.kidogo blood & Gold ambayo nayo ni wajerumani
WARHOURSE nayo inachezea mulemulee ndege ililipuliwa jamaa akaanguka msituni kaanza kupigana na waarabu.
Zipo nyingi sana sana sana.Sasa ni kwamba Hollywood wamechekecha akili kabisa wakaona hii ndo storyline inayobamba au wameishiwa content??Licha ya kwamba movie hizi ni nzuri zinareflect ukweli kwa wanajeshi wao waliopigana vita hivyo na kukutana na mikiki iyo.
Inanikumbusha movies za kivita za China.Nao content ni ileile unakuta vita ni China wanapigana na Japan.Vilevile kwa wakorea kama ni series ya Vita kaa ukijua ni vita kati ya North korea na South korea.
BAADHI YA MAJIBU
Millitary movies ni ngumu yahitaji uwekezaji mkubwa na character wakutosha pia character wanatakiwa wawe fit na wajifunze millitary science ikiwemo lugha za vitani.Hii ni kwa mujibu wa director mmoja wa movie izo anasema character kuvaa uhusika kisawasawa kama script inavyotaka ni ngumu sanaa.
Aidha,Ripoti nyingine ilitolewa ikielezea kwanini millitary movies nyingi ni vita dhidi ya waarabu,walijaribu kuelezea tukio la 9/11 lililotokea mwaka 2007 na apo ndo balaa lilianzia licha ya kwamba Taliban ilikuwepo toka enzi na sababu nyingine nyingi.
Swali ni JE
Makampuni ya kudirect movie kama SONY yamekosa kabisa storyline tofauti zaidi ya Taliban?Au wanaenda na Trend kwakua movie izo zinabamba sana kwenye Soko?
NAWASILISHA
WAKO MTIIFU,JINI GENIOUS
KENGE MMOJA.
.