Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Vipi wanaotoka mshara mdogo kuhamia mshara mkubwa?
Hapo lazima upandishwe mshahara ufikie salary scale, let's una basic salary 100,000 umehamia sehemu ukakuta basic salary yao inaanzia 1,000,000 hapo lazima upandishwe ufikie hiyo scale...
 
Hv annual increment inakuwa Kila mwaka kwa mtumishi..?
Na Huwa inakuwa ni asilimia
ngapi kwa mshahara wa mtumishi..?
Yes unahama na mshahara wako na haupungui... ila ukikuta wana mshahara mdogo wewe hutaweza ongezewa daraja jipya zaidi ya kupata annual increment ambayo ni haki kwa kila mtumishi
 
Hv annual increment inakuwa Kila mwaka kwa mtumishi..?
Na Huwa inakuwa ni asilimia
ngapi kwa mshahara wa mtumishi..?
Yes kisheria za utumish ni kila mwaka... Japo ni hela ndogo sijui calculation zake ila ni kama ya kununulia tofali 50
 
Back
Top Bottom