Hii vita ya Mwanadamu na Shetani haina usawa na haki

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,085
3,729
Hapo vipi?

Awali ya yote nadeclare yakwamba ni kisasi cha milele na shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake. Nije kwenye mada husika ya kwamba ninaposema hii vita kati ya mwanadamu na shetani sio sawa na haki ni kwasababu zifuatazo.

1. Vita hii mwanadamu ni kiumbe ambacho kwa namna alivyoumbwa anauwezo wa kumbambana na kiumbee kwa umahiri, ubora, kiustadi na uwezo umkubwa kwa adui wake katika hali ya nyama na damu na sio katika ulimwengu wa roho, ndio maana ameweza kubuni na kitengeneza silaha kama, mishale, mikuki, mabomu, mabomu ya nyuklia nakadhalika.

Hivyo basi kujificha kwa shetani na kupewa uwezo wa kumuingia na kumshambulia na kumtesa mwanadamu katika ulimwengu wa roho pasipo mwanadamu kujua tayari ni vita isiyokuwa ya haki na usawa.

Nadhani ingekuwa shetani ni kiumbe chenye kutumia mwili na nyamba katika vita hii ni wazi asinge mweza mwanadamu ndio maana akajificha na kupewa uwezo wa kumuingia, kumtumia, kumtesa na kushambulia mwanadamu pasipo mwanadamu kujua ila anakuja kujua baadaye akiwa amesha umizwa na kuteswa na shetani kwa kutumia mapepo, majini, mizimu na wachawi.

Hii vita hata mdhaifu wa kwanza na wa mwisho angesimama upande wa shetani angeonekana mwenye nguvu,wakutisha na mwenye uwezo sana.

2. Hii vita ilikuwa kati ya Mungu na shetani kwa mujibu wa vitabu vyote vya dini Biblia na kuruani lakini anashambulia tena kwa mazingira yasiyokuwa ya haki na usawa ni mwanadamu...shetani ameshindwa huko mbinguni kwenye vita kati yake na jeshi la Mungu ambaye ni malaika, alafu anakuja kufanya vita ambayo sio ya haki na usawa..ndio maana nasema lazima nitalipiza kisasi huko kwenye ulimwengu wa roho milele juu yake.

NB. Kama kweli shetani anauwezo na anamuweza mwanadamu avae mwili na nyama kama Bwana Yesu alivyofanya then aje Duniani kupambana na mwanadamu..tunamsubiri na dhahiri anaonekana ni kiumbe dhaifu mno hatawezo kufanya hivyo kwasababu ya udhaifu wake.
 
Lakini mkuu tuliambiwa huko rohoni tuwe na yesu kristo atupiganie

Japo ni kweli vita hii ina utata mwingi

Lakini MKUU ndy amependeza hivyo
 
umenena kwel kabisa, kuna mchungaji nilimwambia shetani (kama yupo lkn) ni kiumbe dhaifu sana akashangaa, nikamwambia asingekuwa dhaifu angejitokeza tupambane naye, mwishowe akasema ndugu umewaza mbali sana.

shetani toka uko mafichoni tupambane uso kwa uso.
 
Wacha weeeeeeee. Hongera sana maana ndio wachawi wengi mnajifichia huko ili kuwaaminisha vijana kuwa hakuna Mungu wala Shetani ili muwashughulikie.
Ndio Vita yenyewe, kuonyesha kuwa hakuna Mungu, shetani, roho, maisha baada ya kifo n.k watu wawe huru kufanya wanachotaka, uovu wote bila kujiziua, ukatili wote kwani anajuwa kifo ndio mwisho, hakuna malipo. Vita kubwa ni kuondoa HOFU YA MUNGU
 
Ndio Vita yenyewe, kuonyesha kuwa hakuna Mungu, shetani, roho, maisha baada ya kifo n.k watu wawe huru kufanya wanachotaka, uovu wote bila kujiziua, ukatili wote kwani anajuwa kifo ndio mwisho, hakuna malipo. Vita kubwa ni kuondoa HOFU YA MUNGU
Ndio jamaa wanapambania humu JF kwa fake ID ili wawashughulikie na kiwapotosha vijana. Eti anataka tumletee "shetani physically" ila yeye hawezi kutuletea "fikra physically"
 
ikikupendeza fanya hivo,
kikubwa tu nitambue uwepo wake physically na sio kama fikra tu
Nani kakwambia shetani yupo physically? Shetani ni roho ambayo haonekani kwa macho ya nyama . Sasa unataka jamaa ukuthibitishieje?
 
Nani kakwambia shetani yupo physically? Shetani ni roho ambayo haonekani kwa macho ya nyama . Sasa unataka jamaa ukuthibitishieje?
sas hiyo vita na shetani tunapigana vipi ilhali umekiri haonekani kwa macho ya nyama

kwanza shetani ni adui wa binadamu au wa Mungu?
 
Ndio Vita yenyewe, kuonyesha kuwa hakuna Mungu, shetani, roho, maisha baada ya kifo n.k watu wawe huru kufanya wanachotaka, uovu wote bila kujiziua, ukatili wote kwani anajuwa kifo ndio mwisho, hakuna malipo. Vita kubwa ni kuondoa HOFU YA MUNGU
Mungu alikuwa na nafasi ya kuruhusu hayo maovu yote yasitokee,yet ameruhusu yatokee na bado akaumba na shetani kuja kuyaimprement
 
Back
Top Bottom