GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,556
Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia Sekunde 30 tu Kuziongelea na Kuzisifia Simba na Yanga.
Hivi ni nani Aliyewaroga sasa baadhi ya Watanzania kiasi cha kuwa hivi?
Mnamsifia Rais Somia kwahiyo yeye ndiyo atawafunga Al Ahly na Mamelodi Sundowns FC Ijumaa na Jumamosi?
GENTAMYCINE naweza nikawa NAKEREKA na hili kumbe ikawa labda kuna aina mpya ya Ugonjwa umewaingia baadhi ya Watanzania hivyo nichukue nafasi hii Kuwaombeni Wadau mnitungie aina hii ya huu Ugonjwa ili nianze Kuutafutia Dawa / Tiba mbadala na Wapuuzi waponyeke.