Hii tabia ya Wanamichezo kumsifia Rais wa nchi kwenye kila jambo tuiitaje?

Kuna namna fulani ni ajenda ya Siri kumfanya mh Dkt kusikika mara Kwa mara mioyoni mwa watu ili apendeke sasa. Lakini pia watu wanapalilia ugali wao
 
Kwanza kabisa nampongeza raisi wetu Mama samia kuweka mifumi mizuri ya TEHAMA.Maana haikuwa rahisi leo GENTAMYCINE ana tuma uzi wake humu jf kwa amani kbsa..............
 
Back
Top Bottom