Halotel imekuja Tanzania mwaka 2015 kamkuta TTCL ana miaka 30 sokoni ila Halotel kampita wateja TTCL

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
525
2,225
Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma

Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari kashafikisha wateja milioni tatu tayari.

TTCL ambayo imeanzishwa mwaka 1993 mpaka leo haijafikisha wateja milioni 3. huku Halotel aliyekuja Tanzania mwaka 2015 leo hii ana wateja milioni 10

1712873373449.png
 
Shallow reasoning. Our bandari is a gateway to our economy and security of our nationhood and therefore and this should not be tampered with!
 
Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya uma

Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari kashafikisha wateja milioni tatu tayari.

TTCL ambayo imeanzishwa mwaka 1993 mpaka leo haijafikisha wateja milioni 3. huku Halotel aliyekuja Tanzania mwaka 2015 leo hii ana wateja milioni 10

View attachment 2961155

Serikali ya CCM kafanikiwa Nini? Ni tanesco, TRC, atcl, ewura, LATRA, au bwawa la Nyerere?

johnthebaptist

Kila siku ni mwendo wa kujitoa kimasomaso.
 
Kwanza mawasiliano ni lazima iwe chini ya serikali hata % zote au nusu
Angalia Halotel walipokuja tu wakachimba misingi nchi nzima na kutandaza waya zao
Hiyo ilikuwa kazi ya TTCL zamani sana wangefanya ili kampuni zingine wakodishiwe line hizo

Angalia kwa mfano BT ya 🇬🇧 wao ndio line zao na kila kitu na mpaka leo wanaongoza nchi na mpaka landlines wao ndio wanasimamia na kuwapa
 
Mashirika mengi ya serikali yana fursa mkuu ila huwa hayapendi kuweka nguvu mwendelezo wa kujitangaza na kuja na mkakati wa kufanya marketing na kutafuta wateja bila kukata pumzi.

Nikupe mfano mmoja juzi hapa nilikuwa natuma mizigo yangu kutoka Dsm kwenda Singida, nikaenda kwenye Malori nikaambiwa laki 5 nauli.
Kwenye Mabasi wakataka laki 6.

Wazo likanijia nijaribu treni, huwez amini ule mzigo woote nikachajiwa elf 60 tuu, nikasema hivi serikali ina fursa nzuri hivi kwa nn isizitangaze vilivyo.

Tatizo na kutoweka fedha na juhudi katika Marketing, vikao vya ndani ni vingi kuloko ouputs zake. Fields ndo kila kitu
 
Mashirika yote ya serikali yanaongozwa na wasio na uwezo japo kuwa wengi wao wanajiita dk au professor.kuna siku kadi yangu ya ttcl ilipotea ikabidi niende kuirudisha upya.mlolongo niliokutana nao ulinikatisha tamaa Hadi nikaachana na hiyo kadi na hadi Sasa sitatumia kabisa hiyo takataka
 
Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma

Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari kashafikisha wateja milioni tatu tayari.

TTCL ambayo imeanzishwa mwaka 1993 mpaka leo haijafikisha wateja milioni 3. huku Halotel aliyekuja Tanzania mwaka 2015 leo hii ana wateja milioni 10

View attachment 2961155
Smile imeuzwa kwa VODA hivyo iondoe hapo kwenye chart yako.

TTCL kinachoiuwa ni ukiritimba. Wenzao akina Airtel, VODA, TiGo etc vitendea kazi wanavyo watenda kazi. Mfano mdogo tu, telecom and power engineers wa makampuni hayo, wana magari kama vitendea kazi majumbani, kwa TTCL eti gari analo dereva. Mnara ukizima hadi engineer afike site, down time ni kubwa sana, kiasi cha kumfanya mteja aamue kuhama network. Kwa TTCL gari anatakiwa awe nalo bosi

Na huko nyuma, hawa akina VODA, Airtel na TiGo, walikuwa wantumia E1s za TTCL kufikisha mawasiliano mikoani kutokea ziliko switch (DSM). Kwahiyo TTCL walitumika kama backbone kwenye maeneo hayo. Sasa ikitokea site ya TTCL imezima, maana yake mawasiliano ya VODA, Airtel an TiGo kwa mikoa husika yanakatika. Sasa kumpata mhandisi wa TTCL kwenda kurudisha mawasiliano inachukua muda mrefu sana. Hao jamaa wakaona wanapata hasara, then wakaamua kujenga backborne sites zao, hali iliyopelekea TTCL kukosa mapato makubwa sana kwenye E1, tower space na power.

Ujinga wa watu wachache umepelekea leo hii TTCL iwe hivyo ilivyo. Si ajabu leo hii hata humu JF, kuna watu hata code ya TTCL hawaijua, lakinini ukimwambia 0784 ni namba ya mtandao gani anakujibu vizuri, lakini si kwa TTCL.
 
Mm ni mmoja wao sijui code ya ttcl isee..
 
Mashirika ya serikali huwa ni White-elephant project ,yapo kwa ajili ya kupiga pesa za serikali.
 
Smile imeuzwa kwa VODA hivyo iondoe hapo kwenye chart yako.

TTCL kinachoiuwa ni ukiritimba. Wenzao akina Airtel, VODA, TiGo etc vitendea kazi wanavyo watenda kazi. Mfano mdogo tu, telecom and power engineers wa makampuni hayo, wana magari kama vitendea kazi majumbani, kwa TTCL eti gari analo dereva. Mnara ukizima hadi engineer afike site, down time ni kubwa sana, kiasi cha kumfanya mteja aamue kuhama network. Kwa TTCL gari anatakiwa awe nalo bosi

Na huko nyuma, hawa akina VODA, Airtel na TiGo, walikuwa wantumia E1s za TTCL kufikisha mawasiliano mikoani kutokea ziliko switch (DSM). Kwahiyo TTCL walitumika kama backbone kwenye maeneo hayo. Sasa ikitokea site ya TTCL imezima, maana yake mawasiliano ya VODA, Airtel an TiGo kwa mikoa husika yanakatika. Sasa kumpata mhandisi wa TTCL kwenda kurudisha mawasiliano inachukua muda mrefu sana. Hao jamaa wakaona wanapata hasara, then wakaamua kujenga backborne sites zao, hali iliyopelekea TTCL kukosa mapato makubwa sana kwenye E1, tower space na power.

Ujinga wa watu wachache umepelekea leo hii TTCL iwe hivyo ilivyo. Si ajabu leo hii hata humu JF, kuna watu hata code ya TTCL hawaijua, lakinini ukimwambia 0784 ni namba ya mtandao gani anakujibu vizuri, lakini si kwa TTCL.
hata mm code ya TTCL siijui asee
 
Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma

Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari kashafikisha wateja milioni tatu tayari.

TTCL ambayo imeanzishwa mwaka 1993 mpaka leo haijafikisha wateja milioni 3. huku Halotel aliyekuja Tanzania mwaka 2015 leo hii ana wateja milioni 10

View attachment 2961155
Hata wewe Kuna vijana wadogo wa umri wamekuzidi maisha.

Ni connection na michakato plus kukamatia fursa tuu.

Mashirika ya Umma ya Tzn hakuna linalofanya vizuri, mentality za kijamaa zilishatuharibu akili.
 
Serikali inafanya maksudi kumbuka jinsi voda, Airtel Tigo na Halotel wanavyowapiga wananchi kwa kupandisha bei ya vifurushi na kodi ya serikali inapanda vile vile,

kwa sababu serikali inaangalia kiasi walichovuna yenyewe inatoa asilimia zake.......

Business as usual...
 
Back
Top Bottom