Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 358
- 780
Kwa hiyo wameshamjua aliyeangusha chopa ya Raisi?Kila nchi na mambo yake, ila Iran iko salama watu wanaendelea na shughuli zao ,kesho mwendazake anazikwa na Rais wa muda tayari yupo madarakani
Kwa hiyo wameshamjua aliyeangusha chopa ya Raisi?Kila nchi na mambo yake, ila Iran iko salama watu wanaendelea na shughuli zao ,kesho mwendazake anazikwa na Rais wa muda tayari yupo madarakani
Pepo ya bikra 72 ina mhusu mtu wa
hali ya hewa ndio tatizo, kwahiyo nature haina longo longoKwa hiyo wameshamjua aliyeangusha chopa ya Raisi?
jamaa ana wivu kweli na raha zetu za mileleMshenzi mkubwa ww
Huna unachojua ila matusi na chuki,umekua brain washed na western propaganda,husikii wala huoni.Kwan tatizo liko wapi
Ww subiria pepo yako atakayokupa Yesu na mm nisubirie mabira 72.otherwise shut ur bakuli and learn to be a great thinker
Duh!Atakumbukwa kwa mengi ikiwemo kuikopesha Serikali ya Tanzania mikopo isiyo na riba
Wewe kama wewe unakubalije kuwa kisababishi cha ajali ni hali ya hewa kuwa mbaya ilhali kuna chopa zingine, zilipita na kutua pasipo matata?hali ya hewa ndio tatizo, kwahiyo nature haina longo longo
Kwasababu taarifa tumeona na ukungu mkubwa Sana ulikuwepo pale ndio maana hata waokoaji wa mwanzo walisitisha zoezi mpaka walipopata msaada wa Uturuki ndio wakaweza kuona mabaki ya ile ndege, naweka kumbumbuku sawa mkiwa kwenye ugomvi sio kwamba kifo kitakuacha , muda ukifika ni kifo tuWewe kama wewe unakubalije kuwa kisababishi cha ajali ni hali ya hewa kuwa mbaya ilhali kuna chopa zingine, zilipita na kutua pasipo matata?
inasikitisha ila waliyataka wenyewe, hasa yule minster of foreign affair mwenye kiburi na jeuri. wakabidhiwe tu mabikira yao 72 huko waendelee, mtaji kiuno.Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi kuguswa naye katika utumishi na uongozi wake mrefu ndani ya Iran.
Huyu bwana alianza kama mwendesha mashitaka na baadaye naibu mwanasheria mkuu katika wa serikali ya Iran, alikuwa mjumbe pia katika kamati za mauaji. Chini yake katika nafasi hizo mbalimbali akifanya kazi kwa ukaribu na mahakama ilishuhudiwa watu zaidi ya 8,000 wakinyongwa na maelfu wengine wakitupwa jela, kupotea au kupata adhabu za utesaji mkuu uliopitiliza kwa sababu za kisiasa na mambo mengine yanayoitwa ya kimaadili.
Wa-Iran wenye uraia wa nchi mbili hasa za magharibi walikumbana na mkono wake katili haswa, alibuni mpango wa kuwatumia kama chambo katika migogoro ya Iran na magharibi kwa kuwavizia na kuwakamata akiwasingiza uhaini kisha kuwatumia kama karata turufu kwenye majadiliano mbalimbali na West.
Huenda wahanga kutoka familia nyingi kwa maelfu ndani na nje ya Iran zilizoathiriwa naye wanaomba helicopter hiyo isipatikane kabisa na hawawezi kulaumiwa kwa hilo.
Ubinadamu kazi.
Hata Ebrahim alikatisha maisha ya wengi enzi zake, siku ya kufa ikifika hata bodyguard huwa hapingi.mkiwa kwenye ugomvi sio kwamba kifo kitakuacha , muda ukifika ni kifo tu
Helcopta ni Made in USA aina ya Bell. Made in 1979, spare kwa sababu ya Vikwazo vya USA walikuwa hawawezi pata. Huenda waliuziwa spear za Black market watu wakaweka "Stuxnet like Virus" , time imefika wakachomoa BetriMkuu hivi ile helicopter ilitengenezwa wapi na nchi Gani?
mkuu kwani msiba ni wapi sasa, mnasafirisha au tunazika palepale tehran?Vichogo wabara hatumkumbuki lolote,
Afe tu.
Mpk sasa haijulikani km hata mabaki yapo.so hatusafirishimkuu kwani msiba ni wapi sasa, mnasafirisha au tunazika palepale tehran?
mabaki yapo, iliungua kidogo lakini ila walau ya kuzika yapo.Mpk sasa haijulikani km hata mabaki yapo.so hatusafirishi
alifanya kazi yake kwa maslahi mapana ya nchi bila kujali wengine watasemaji, na hata asingefanya bado angekufa tu kwa ajali hiyo hiyo ya ndege, hivyo hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya matendo yako na kifo chakoHata Ebrahim alikatisha maisha ya wengi enzi zake, siku ya kufa ikifika hata bodyguard huwa hapingi.
Majivu labda,hamna kitu palemabaki yapo, iliungua kidogo lakini ila walau ya kuzika yapo.
Eeh huko nako Tshisekedi katingishwa,siijui hii.Kwa hiyo coup attempt in Kinshasa na helicopter crash zimetokea siku moja?
So wameshangilia kifo chake??Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi kuguswa naye katika utumishi na uongozi wake mrefu ndani ya Iran.