Bodi ya ligi na TFF hawa wazee wote waondoke. But nani wa kuwatoa?

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,061
2,071
I will be short

These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today.

1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame shame. Why only 3 teams. Why not favor all teams. Small teams more.

2. Time table aipo equal in all teams in the league. Yaani bingwa anapangwa kwa time table ngumu. Among the 3 teams. Pathetic of brainless boards shame on them. Favortism in 2024.

3. Referee are corrupt na amna kitu wanafanya. useless old b*st*rds fools. Kila mwaka we complain the same issue for years. Nothing is done. Same referees every seasons. Ban them to lower leagues.

4. Been 60 years hatuna viwanja hata vya carpet. Trust me the money is there. wahisani wapo. Its politics na kukwamisha process for corruption.

If you go today and plan for a field contraction. The process will take forever. Yanga since last year kibali bado. who is preventing it????!!!!

Corrupt old stupid boards ikiongozwa na kalia. 🚮🚮🚮.

😅 Ni povu i hope it helps

5. Sorrry for being straight ila if nothing is done. no point of having a football league.

BIG POTENTIAL USELESS POLICIES. USELESS OLD PEOPLE AND BRAINLESS , UNQUALIFIED INDIVIDUALS.

SORRY BUT AM NOT SORRY.
 
Corrupt old stupid boards ikiongozwa na kalia. .

Ni povu i hope it helps

5. Sorrry for being straight ila if nothing is done. no point of having a football league.

BIG POTENTIAL USELESS POLICIES. USELESS OLD PEOPLE AND BRAINLESS , UNQUALIFIED INDIVIDUALS.

SORRY BUT AM NOT SORRY.
Hizi ni dalili kuu za uchawi wa utopolo.Anabebwa sana na rushwa,fitna,uchawi na siasa na anashangilia kila timu yake ikifanya hivyo.

Anakaribia kukata roho kuona mnyama anashinda mechi
 
akili kama karia au mangungu wao st*pid. another useless f*ol. ukishangilia incompetence. ni dalili za kutokuwa na akili.
mechi ya simba hata sija angalia na sijui what happened.

simba ikishinda na ligi ipo 3rd position. yanga ipo 9 points clear. why should i care. also hili ni issue ya ligi nzima. unaona ni sawa . means hata shule huna. kama huna D mbili uwezi elewa uzi huu. mangungu should rule you f*ols forever
 
Time table aipo equal in all teams in the league. Yaani bingwa anapangwa kwa time table ngumu. Among the 3 teams. Pathetic of brainless boards shame on them. Favortism in 2024.
Hili liko Wazi kabisa...
Yani Yanga Viunzi alivyovivuka havisemeki aisee...

Kuna shida.
 
I will be short

These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today.

1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame shame. Why only 3 teams. Why not favor all teams. Small teams more.

2. Time table aipo equal in all teams in the league. Yaani bingwa anapangwa kwa time table ngumu. Among the 3 teams. Pathetic of brainless boards shame on them. Favortism in 2024.

3. Referee are corrupt na amna kitu wanafanya. useless old b*st*rds fools. Kila mwaka we complain the same issue for years. Nothing is done. Same referees every seasons. Ban them to lower leagues.

4. Been 60 years hatuna viwanja hata vya carpet. Trust me the money is there. wahisani wapo. Its politics na kukwamisha process for corruption.

If you go today and plan for a field contraction. The process will take forever. Yanga since last year kibali bado. who is preventing it????!!!!

Corrupt old stupid boards ikiongozwa na kalia. 🚮🚮🚮.

😅 Ni povu i hope it helps

5. Sorrry for being straight ila if nothing is done. no point of having a football league.

BIG POTENTIAL USELESS POLICIES. USELESS OLD PEOPLE AND BRAINLESS , UNQUALIFIED INDIVIDUALS.

SORRY BUT AM NOT SORRY.
Good thinking I second you
 
Genge la wahuni pale tiefuefu wamejificha kwenye uongozi wa soka!

Simba lazima imalize nafasi ya pili upende usipende, hii ndo ligi yetu.
Hata kama ni maelekezo ya kolo Mr Karai Simba kucheza CAF champions league kwa lazima kulinda brand yao ila nakuhakikishia watakandwa kesho maana hawana ubavu kwa Azam, in my mind I see the big shift of bongo football na Simba kushika nafasi ya tatu na kucheza ligi za matopeni na ndondo cup panapowastahili.

Azam gari limewaka shime kesho wasikubali ujinga sijui wachezaji wao wapewe red card au Simba wapewe penati za mchongo , mara Mzamiru kuzuia faulo zisipigwe kama kule zenji sijui Ayubu kuchelewesha muda hadi kukera watu, ni bora Azam kutoa timu uwanjani Simba wakapewe ushindi wa mezani kuliko kukubali kuonewa, Kesho Simba watacheza rafu nyingi, Azam wapigane kiume uwezo wanao washinde kesho huu ndo mwaka wao Simba mbovu, msimu ujao Simba itabebwa kuliko mwaka huu. Niko paleee!!
 
subiri uone Simba mbovu ikiwa inacheza na timu za mikoani na hiyo itakayocheza na Azam
 
Back
Top Bottom