Baada ya miaka mingi kupita, leo ndiyo naona athari ya Nyota ndogo

Mbahili

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
200
324
Habari za jioni wanajf. Hongereni kwa mifungo mbalimbali kwa Waislamu, wakristo na wasio na dini

Leo kuna jambo limetokea nikamkumbuka nyota ndogo..
"Oooh.. kuna watu na viatu dunianiiii.
Ooooh kuna watu wasiopenda maendeleooo.
Oooo ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndaniiiii...
Oooh achana nao waepuke haraka sanaaaa....

Baada ya huo wimbo nije kwa point sasa.... Nillishi maisha ya kibachela kwa miaka 6 hivi... yaani kummilikisha mtoto wa mtu kama vile mm nifanye ajitambulishe km demu wangu ni miaka sita sasa, toka nigombane na Esta mwaka 2017.

Haya bhana mwaka unaaza tukaaza
,"huu mwaka eeeh, ndo mwaka wakufosi yani utake usitake, mtaniita booosi..."
Huu mwaka nkafosi nkazungukia ushuani nkaokota namba ya mtoto nlirmuwinda kwa muda mrefu.. Tumuite Abby Charms, sema ana rangi ya Abby sema kwao wanaela kidogo kuwazidi kina Abby. Nikachukua namba piga sound kidogo huyo nkamdaka.

Siku moja nmechil skani tunapiga vi K vant, si tukaanza jisifia pisi, namimi saa ngapi nisiaze story, oooh mtaa mzima mimi nna pisi kali oooh mtaa mzima pisi yangu anaela kuwazidi nyie vibatari wote......

Kesho asubuhi napiga simu,... naambiwa mtumiaji wa simu unaye mpigia anaongea na simu nyingine...... nilijua anaongea na daddy wake, baada ya nusu saa majibu hayo hayo... dah unajua hako ka feeling ukiwa blocked. Nkamtext hanijibu.

Nkaja gundua kumbe jamaa angu damu damu ndo kaamua kunichomesha, sahv hadi songesha nadaiwa na nilikuwa sikosi viteni deileeee.

Ila sisi ni pipo tutakutanaga tu.
 
Sio id yako mpya hii wewe 🤣🤣🤣
Nilivyoiona kwa mara ya kwanza nikahisi ni wewe. Sema nilivyoangalia kajoin lini, nikajisemea hawezi kuwa lamomy huyu, maana huo mwaka ulikuwa bado upo kijijini 😅😅
 
sometimes inabidi nisome threads kama hizi nicheke sana..
kuliko zile za machawa.
#NasimamaNaMama.
 
Nilivyoiona kwa mara ya kwanza nikahisi ni wewe. Sema nilivyoangalia kajoin lini, nikajisemea hawezi kuwa lamomy huyu, maana huo mwaka ulikuwa bado upo kijijini 😅😅
Huyo ni wewe halafu umeswitch fasta id yako ya zamani kuja kucomment, hivi kwann unatufanya wajinga.?? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom