bandari imeuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji. Aidha, TPA imebainisha kuwa makabidhiano ni tangu Aprili 7, mwaka huu bila kuathiri uendeshaji wa...
  2. R

    Bandari imeuzwa au haijauzwa?

    Nani anajua tumemaliza vipi hoja ya bandari na DP world? Mwaka unaisha sasa, je wale waliokuwa wanatudanganya tutashtakiwa wameanza kushawishi DP world watushtaki ili walipwe fidia? Wale waliokuwa wanawatukana watumishi wa bandari kwamba wameshindwa kazi leo hii mbona wanaendelea kujisifu...
  3. The Supreme Conqueror

    Wale waliosema Bandari imeuzwa tubuni mapema dhambi zenu Mkataba wenu feki unawaumbia Mchana kweupe Samia hadi 2030

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imealika kampuni kutuma zabuni kwa ajili ya kusimamia kituo cha makontena (Container Terminal II) kinachohusisha gati namba 8 hadi 11 katika Bandari ya Dar es Salaam, Hii ni eneo ambalo hapo awali lilisimamiwa na kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia...
  4. DR Mambo Jambo

    Michael jackson: "Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi"

    Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi, (Usijali watu wanasema nini, Kwa sababu tunaujua ukweli) Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kutuhusu, (Inatosha sasa, upuuzi huu!), Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu sisi, Koras! Vichwa Panzi, Bongo lala...
  5. Suley2019

    Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

    Serikali wilayani llemela mkoani Mwanza imeifunga bar maarufu ya The Cask Bar & Grill jijini Mwanza kwa tuhuma za ukwepaji kodi kwa kipindi cha miaka miwili. Kwa mjibu wa Mkurugenzi wa manispaa ya llemela Kiomono Kibamba, amesema uongozi wa bar hiyo umekwapa kodi ya Serikali na kuendesha...
  6. J

    SoC03 Nini kifanyike ili kukabiliana taharuki ya mkataba wa bandari wa DPW nchini Tanzania

    DPWORLD ni kampuni kubwa ya biashara yenye makao makuu yake Dubai ambayo inajishughulisha na uwekezaji katika maeneo ya bandarini. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopata bahati ya kuingia mkataba na Kampuni ya DPWORLD,hatua hii ya makubaliano Kati ya Tanzania na DPWORLD ili lenga kuboresha...
  7. S

    Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

    SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake. "Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka...
  8. N

    Wanaosema bandari imeuzwa wanavikosea heshima vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama

    Ni wazi kuwa mjadala kuhusu bandari ulianza vizuri na kuleta radha kwelikweli lakini ghafla uliharibika baada ya kuvamiwa na wanasiasa na watu ambao waliingiza hisia ambazo hazileti afya katika umoja wetu wa kitaifa. Ushiriki wa sector binafsi katika uzalishaji na utoaji huduma sio Jambo geni...
  9. ChoiceVariable

    John Malecela: Sioni Hoja ya Wanaopinga Uwekezaji wa DP World Bandarini

    Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Malecela ametoa kauli kuhusu sakata la makubaliano ya uwekezaji wa bandari nchini na Serikali ya Dubai kupitia Kampuni ya Dubai Port World (DPW). Malecela ametoa kauli hiyo leo Jumapili Juni 25, 2023 baada ya kuulizwa swali...
Back
Top Bottom