SOMO LETU LA LEO LINA TOKA KWENYE KITABU CHANGU CHA ANDROID NETWORKING
Lengo la kitabu hiki ambacho ni
maalumu ni kujifunza kwa namna gani
unaweza kuweka taarifa kwenye web
server database kwa kutumia Android
Studio na kuzi view kwenye mobile
app .
Faida ya Application hii ni kwamba mtu...
Wakuu habari za mishe
nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine viheshimiwe kwani navyo ni viko fire .Share chochote ila isiwe kuhusu iOS
MIMI NAANZA NA UBUNTU...
Google wametangaza maboresho ya kupunguza wizi na kulinda data pale simu inapoibiwa. Baadhi zitakuja na Android 15 na baadhi zitakuja kwenye Android kuanzia 10 kwa kupitia update ya Play.
Android’s theft protection features keep your device and data safe
Theft Detection Lock Simu itatumia AI...
Sony,
Lg,
Smart watch za Android…
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa zitumiazo android OS
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Habari wadau,
Matangazo kwangu mimi yamekuwa kero kubwa sana. Yaani huwezi fanya jambo bila kukutana na adds, apps ambazo haina adds ni Whatsapp, Insta na X. Zingine kufungua kabla hujafanya lolote lazima ukutane na tangazo kama siyo video basi pop ups. Video zingine zinaenda Hadi dakika...
How to reset your phone?
The generic steps for factory reset will involve the below similar steps:
Go to the Settings app in your phone and find System.
Select Reset Option.
Reset option usually features erase all data button. Please click on it to format your phone. The page also mentions in...
Roku TV, Android TV, Smart TV, AI TV, Google TV, Mini LED TV, QLED TV, na kadhalika ni baadhi ya maneno ya masoko yanayotumiwa na wazalishaji wa TV hivi sasa. Kusema ukweli, ni ngumu kutofautisha kati yao ikiwa wewe si mtaalamu katika kuhusu televisheni.
Android TV na Smart TV ni sawa sana hadi...
Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa jina la "Xamalicious," mlango wa nyuma uligundulika hivi karibuni katika programu kadhaa kwenye Google...
Hakikisha unatumia vidokezo hivi vya Android ili upate mengi zaidi kutoka kwenye kifaa chako. Idadi kubwa ya mbinu na vidokezo vyenye manufaa vilivyofichwa ndani ya vifaa vya Android ni sehemu kubwa ya sababu kwa nini ni baadhi ya simu bora. Kujua hata chache kati yake kutakusaidia kupata zaidi...
If you've recently snagged a sleek new Android smartphone—whether it's your inaugural dive into the Android world or a long-overdue upgrade from an older model—prepare for a voyage of discovery and organization. This guide will walk you through the essentials and additional features worth...
Habari wakuu
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyouliza.
Kuna website nikifungua kupitia simu yangu naweza kukopi text lakini Kuna website zingine siwezi kukopi.
Nafahamu baadhi ya website wanafunga usiweze kukopi text. Kwenye PC upande wangu naweza kukopi hata Kwa website zilizozuia kukopi...
Habari zenu wakuu , kama Kuna fundi anaeweza kurekebisha hii redio anitafute pm, mm nipo Dar so na yeye awe Dar
Shida yake ni ukiiwasha inawaka izi taa za pembeni pekee
Habari wakuu! Kwenye simu yangu nilikuwa na shida ya matangazo kila sekunde 30 tangazo, kibaya zaidi nikiwasha tu data, matangazo yanaanza kujitokeza! Hii simu nilinunua kwa mtu nahisi aliuza kwasababu ya matangazo haya!
Nilikuwa nimetafuta kila njia ya kuuondoa lakini imeshindikana, ilikuwa...
Head to Settings > Network and Internet > Advanced > Private DNS.
Choose the option Private DNS Provider Hostname.
Enter "dns.adguard.com" and Save.
That's it! You'll no longer see any in-app ad ads or pop-ups on browsers.
Samsung imeachia update ya Android 14 One UI 6 toka wiki iliyopita.
Kwa wale wenye simu za Galaxy 23 Ultra unaweza ku-update simu yako kwenda One UI 6.
Binafsi nilisha update lakini sioni tofauti yoyote na One UI 5.1. Kama kuna alie update humu anisaidie labda mimi ndio sijaelewa customization.
Asalaam aleykum Jamiyah, hapo awali kidogo ukinnunua simu dukani ilikuwa ni simu ambayo endapo ni Samsung, Nokia, tecno na kadhalika, wakati wa kuiwasha ilikuwa inakuja nembo halisi ya simu husika bila ya kuwa na andishi lolote linaloambatana yaani linakuja neno Samsung na mbwembwe zake kwenye...
Wadau habari, naomba tuangazie macho kwenye hii functionality inayopatika kwenye simu za android.
Kadri matoleo mapya Adroid yanavyokuja ndivyo usalama wake pia huumalishwa kwa kuwalinda walaji japo bado kunatakiwa kaangaziwa macho.
Leo naomba kwa anayejua aniambie ni nini hasa mapungufu...
Katika zama za mawasiliano ya kidijitali, majukwaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Tunashiriki matukio yetu, kutambulisha hisia zetu, na kuungana na ulimwengu.
Lazima pia tukubaliane na hatari zilizopo. Hivi karibuni, Microsoft iligundua uwezekano kwenye programu...
Habari wakuu
Kwa watumiaji wa Kali Linux hii ni bab kubwa, hapa nawaza nianze kuifanya kama biashara najua vijana watakao hitaji kumiliki simu za wapenzi wao ni wengi.
Ipo hivi.
Kuna tool inaitwa AndroRat , Andro kama ufupisho wa neno Android, na Rat kama ufupisho wa neno Remote access...
KUPERUZI SIMU KWA VITUFE VITATU
Tukiachana na wazee and the likes, Nashangaa kuona bado kuna watu wamekomaa kuendelea kutumia vile vitufe vitatu vilivyopo chini ya screen.
KUPERUZI SIMU KWA GESTURE
Gesture imerahisisha sana kutumia simu,
ukiswipe pembeni kulia au kushoto unarudi nyuma (back)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.