Search results

  1. J

    Love juakali alivyomlipa Wema mwanamke mwenzake aliyedai hampendi kwasababu ana sura na umbo baya

    LOVE JUAKALI ALIVYOMLIPA WEMA MWANAMKE MWENZAKE ALIYEDAI HAMPENDI KWASABABU ANA SURA NA UMBO BAYA. Unaweza kushangaa! unaweza usiamini lakini watu wema bado wapo! kama matukio yanavyojieleza pichani. Siku kadhaa zilizopita content creator mmoja wa hapa Dar es salaam aliongozana na Love Juakali...
  2. J

    Mdomo unaumba, jinenee mema

    MDOMO UNAUMBA, JINENEE MEMA. Miaka mitatu nyuma kulitokea kutokuelewana kati ya Jay Melody na Nandy ambapo Jay Melody alisikika akilalamika kuwa wakati Nandy hajawa msanii mkubwa Jay Melody ni miongoni mwa waandishi waliokuwa wanamuandikia Nandy nyimbo na kwenye zile nyimbo za Nandy za mwanzoni...
  3. J

    Muziki ni kama laana fulani hivi

    Unajua muziki ni kama una laana. Bible inasema shetani alikuwa malaika wa kumsifu Mungu, Makerubi nadhani ambaye alikuwa na mbawa sita. Na kila bawa alilokuwa analifunua, vilikuwa vinasikika vinanda na sauti za kumsifu Mungu. Wakristo wanaimba kanisani kumsifu Mungu, Mungu anapenda sana hii...
  4. J

    Huyu ndiye mwanamichezo mwenye pesa kuliko wanamuziki wa Marekani

    Michael Jordan ndiye mwanamichezo mwenye pesa kuliko wanamuziki wa Marekani. Jamaa ana dola bilioni 3.2. Jay Z ana dola ana dola bilioni 2.5. P Didy ana dola milioni 800 Dr Dre ana dola milioni 500 Kanye ana dola milioni 400. Floyd Mayweather ana dola milioni 400 Why Jordan ana pesa...
  5. J

    Jua haya kuhusu Vatican

    Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia. Rais wa...
  6. J

    NASA wajanja sana

    Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata kidogo. Yaani kuna taarifa hutakiwi kuwa nazo. Hata hapa Tanzania hii ipo, yaani kuna taarifa ambazo...
  7. J

    Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki

    Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki. Sometimes mpaka najiona nimechelewa sana kuyafanya yale anayotaka kila siku niyafanye. Mimi nilishakuwaga na mashaka sana na Mungu kwenye kujibu maombi, thats true bro lakini baadaye nikakaa na kujifikiria kwa nini? Watu...
  8. J

    Mungu hakupi unachotaka

    maisha ya mwanadamu ni kama maua huchanua na kusinyaa, wengi wetu tumezaliwa tukiwa na ndoto kibao za mafanikio katika maisha yetu , hakuna mtu asiye penda kuishi maisha mazuri, kila mtu anatamani awe na pesa, jumba, magari na miradi mbalimbali ya kutosha Nadhani wengi wetu tulipo kuwa bado...
  9. J

    Umaskini ni laana

    Habari wanaJF, Siku zote UMASKINI haufurahishi, unatesa, unadhalilisha na unaumiza sana unamfanya mtu adharauliwe, achukiwe na wakati mwingine hata kutengwa maskini hana rafiki. Na pia kutokana na hali ngumu ya maisha ya umaskini wetu kuna muda huwezi kuzuia machozi yasitoke kutokana na...
  10. J

    Taja rafiki ambaye alifariki dunia mapema sana na huwezi kumsahau!

    Mtaje rafiki yako ambaye alifariki mapema sana na hutawahi kumsahau, naanza na mimi kaka yangu mtoto wa mama mdogo. Rest in peace broh.
  11. J

    Unaweza ukahisi bila kuwa na shobo huwezi kupata washikaji na mademu

    Wana JF mambo niaje, Mimi nauliza eti katika haya maisha bila kuwa na SHOBO na watu hauwezi ukapata washikaji wala mademu? Au hata mchongo wowote ule? Mimi binafsi sinaga Shobo na watu ila natumaini nitapataga watu au marafiki wa kuendana na nao. Karibu ufunguke. Sent using Jamii Forums...
  12. J

    Illuminati wamenipa vitisho

    Wadau wana JF mambo niaje, Nilikutana na jamaa mmoja hivi wa Marekani akasema ataniunganisha na illuminati na nitakuwa tajiri mkubwa, sasa nikakubali na akaanza prosesi zote na ikachukua miezi miwili sasa hatua ya mwisho akasema eti ili niweze kupata hela eti ni lazima nilipe dola 389 sawa na...
Back
Top Bottom