Ni saa tatu za asubuhi, nikiwa nafua nguo nje ya nyumba yangu. Nashitushwa na ujio wa ghafla wa askari mgambo wanne wenye nyuso za shari shari wakiwa wameambatana na mwenyekiti wa mtaa. Japokuwa mimi ni kiziwi. Askari mgambo hawa wanalazimisha kuzungumza na mimi kwa amri tu kama vile wanaongea...
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kilio juu ya kuwepo kwa udhaifu mkubwa wa kiusalama kwenye tovuti nyingi na mifumo mingine ya TEHAMA ya taasisi za umma.
Ni mara nyingi tu yametokea matukio ya mashambulio ya kimtandao na udukuzi kwenye tovuti hizi ambayo yamekuwa yakiliingizia taifa hasara...
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2007 nilipopata ajira ya kudumu ya ualimu baada ya kuhitimu mafunzo ya astashahada ya ualimu kutoka chuo kimoja maarufu kilichopo wilayani Muleba.Nakumbuka nilipangiwa kufundisha katika shule moja ya msingi iliyopo wilaya moja inayopakana na nchi ya Burundi.
Siku...
Edogun Mzalendo ni kijana wa miaka ishirini na minne, muhitimu wa stashahada ya sayansi ya kompyuta na mmiliki wa steshenari ndogo inayopatikana mjini Kahama.
Ni miaka miwili tu imepita toka afungue steshenari yake hiyo lakini amejizolea umaarufu mkubwa sana kutokana na kipaji chake cha...
Nakumbuka kipindi chote cha miaka kumi na mitano,nilipokuwa miongoni mwa wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,miswada mingi ya sheria ilipokuwa ikiletwa bungeni tena mingine kwa hati ya dharura,
sikutaka kabisa kujihangaisha kuipitia kwa umakini kabla sijashiriki kuipitisha...
Nakumbuka vizuri kuwa ilikuwa ni mwaka 2001 nilipoanza kutumia dawa za kulevya aina ya bangi.Tofauti na watumiaji wengi wa dawa hizi kuanza kuzitumia wakiwa kwenye umri wa balehe ambao kwa wengi huwa ni muda wa kujaribu kila kitu, Mimi nilianza kuvuta bangi nikiwa mtu mzima kabisa, mwenye elimu...
Ni majonzi makubwa yamekighubika kijiji kizima cha Mukalinze.Wanakijiji wote, wanaume na wanawake ni kama tumepoteza sababu ya kuyafurahia maisha kwa pigo lilokipiga na kukijeruhi vibaya kijiji chetu hiki kikongwe.
Kama sasa hivi akifika mgeni ghafla hapa kijijini kwetu,anaweza kufikiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.